Habari za leo wana JF.
Ninakuja mbele zenu na hoja yangu ambayo kama kichwa cha habari kinavyosema natafuta mke. Lakini kwanza nataka tuanze na urafiki wa kawaida, tufahamiane halafu tuendelee mbele pale kila mmoja wetu atakapojiridhisha. Na ninaposema tufahamiane simaanishi tufanye ufuska.
Mimi ni mwanaume wa miaka 30, nina elimu ya Chuo kikuu, na nimeajiriwa. Ninatafuta rafiki wa kike ambaye angependa kujenga mahusiano yenye lengo la kuwa wanandoa.
Awe Mkristo, elimu ya kidato cha nne na kuendelea na umri usiozidi miaka 30. Mengine yote nitajadili moja kwa moja na mhusika. Kwa yule aliye serious tu anitumie PM.