Kajolijo
JF-Expert Member
- May 30, 2016
- 3,364
- 4,612
Kuna mama ana miaka kama 37, mama yuko manshallah tu na alinipenda nkapiga show, nikazoea nae akawa kama demu wangu, sasa mama huyu ana binti nae kanipenda japo yeye sijapiga show ila kanambia anataka tuoane,. Naogopa kimwambia ukweli. Msaada wakuu nahisi ata nikiwa nae sitamuacha mama yake maana ni fundi haswa