mwanzo wetu
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 1,581
- 461
Jamii nzima inamatatizo mengi yatokanayo na Migogoro ya kifamilia, uchumba n.k , hasa mitoso imekiwa rukuki kwa vijana wapande zote mbili na hata wasio vijana wanalia kunyanganywa wake au waume, hivyo nipende kushauri mwanasheria mkuu wa serikali ianzishwe mahakama ya mapenzi ili kutatua changamoto za kimahaba napia inaweza kuiingizia serikali pato kubwa sana kwa mda mfupi mana faini zinaweza kutozwa Asbh hadi jioni, Nawasilisha.