Naomba ushauri
Nimekuwa nikijihusisha na kuchepuka na mdogo wa mpenzi wangu ambaye ndiye namtegemea kumuoa hapo baadae maisha ya ajira yakikaa vizuri
Sasa nimejitokeza hapa nahitaji ushauri...
Habari za asubuhi!
Nahitaji msaada wenu wa ushauri wa dhati kabisa kama mdada aisee...
Ukishindwa njoo hata PM unishauri tafadhali!
Mimi na mume wangu tumetengana kwa mwaka na nusu sasa...
DALILI MBAYA KTK MAHUSIANO!
1,Kila siku bby I'm bussy I will call you later!
2,Mara nyingi I'm so tired bby late do it another time!
3, Ukimpigia hapokei eti bby simu ilikuwa mbali na mimi!
4...
Wanaume wenzangu, embu tujadiliane kuhusu hili swala ambalo kuna mdau aliliuliza kule kwenye blog ya kurekebisha tabia,lakini halikupewa majibu muafaka, sijui kwasababu wengi wenu ni wahanga au...
Habari za jioni,
Mimi nimwanaume nimetokea kumpenda mama mmoja ambae ana watoto 2 mume wake nikama wameachana yaani najitahidi kumuonyesha kuwa nampenda kwa dhati nampa kila kitu anachokitaka...
Habari za uzima wakuu?
Hivi kwa mfano binti mliyeachana nae muda mrefu akikupigia afu ktk mazungumzo yenu ukaamua kumtania kumuuliza ''vp ushaolewa? Yeye anakujibu eti toka mlivyoachana hakuna...
Jaji nchini Canada wakati wa kesi ya ubakaji wa binti ambae umri wake ni miaka 20, alimuuliza aliyebakwa kwa nini akufunga miguu? Hapa imekaaje vijana wenzangu@Mabeberu mnafanyaje pale hamu ndo...
Mambo wololo wololo Wakubwa.
Ungana Nami Tupa Wa Fasihi katika Simulizi hili la hisia, hisia tamu za mapenzi.
Jiachie....
Mlio wa ngoma unasikika na sauti ya wanawake wanaopiga vigelele...
Kuna vitu vinanisikitisha sana kutka kwa madada zetu,wapo weng wanaolalamika na kujihisi wana mikosi au hata wanalogwa kwa kukosa mume sahihi,mnachotakiwa mjue mchawi wako ni ww mwenyewe
unakuta...
Mimi ni mwanaume mwenye miaka 29,natafuta msichana wa kuwa nae kwenye mahusiano na hatimae kuoana nae.awe na umri kuanzia miaka 22-26,mcha mungu,anaejiheshimu na kujithamini,mchapakazi,mwenye...
Habari wapendwa,
Poleni na majukumu ya kazi na kujenga mimi ni kijana wa miaka 27 kimaumbile nipo kawaida mrefu wa wastani, maji ya kunde kifupi najiona mtu wa kawaida lakini nashanga jinsi...
Wasalaam,
Kwa kweli nimejikuta katika wakati mgumu baada ya rafiki yangu wa muda kidogo kuniuliza idadi ya michepuko niliyonayo. Mpaka sasa bado nalitafakari swali hili mpaka nahisi kuna kitu...
Unakuta mdada mzuri kaumbika, mtiifu anapendeza kila mda ila mkishazoena hajitake care yani anakuwa kila mda yuko rough tofauti na alivokuwa ulivokuwa unamtongoza. Unajitahidi kumpeleka hapa na...
Heshima yenu wakuu,
Sijui nimepatwa na kitu gani toka nilipoachana na the guy, mwanaume akiniambia hili neno "nakupenda" natokea kumchukia sana hata kama ni mfanyakaz mwenzngu nakuwa na chuki nae...
Jf naomba ushauri kwani kuna dawa ya kuacha kupenda au kutokuumia ukiacha maana nateseka sana mapenzi yamekuwa changamoto saana kwangu naomba nisaidieni jamani nimechoka na hii kitu inaitwa...
Habari za uzima wakuu,
Leo ningependa tupeane marifa kidogo kuhusu Mada tajwa hapo juu,
Kila siku tumekuwa tukisikia matukio mbali mbali yanayofanywa na dada zetu/ndugu zetu/mama zetu...
Kwa wasomaji wa maandiko matakatifu, vipo visa vya Samsoni & Delila, Adamu & Hawa na vingine vingi, ambavyo kwao mwanamke ndie anakuwa master plan.
Sasa hapo udhaifu wa mwanamke ni upi?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.