asha mushi
Member
- Feb 23, 2017
- 33
- 29
Jf naomba ushauri kwani kuna dawa ya kuacha kupenda au kutokuumia ukiacha maana nateseka sana mapenzi yamekuwa changamoto saana kwangu naomba nisaidieni jamani nimechoka na hii kitu inaitwa mapenzi nataka niwe mwenyewe nifanye mambo yangu.