Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Natafuta mwanamke hasiyependa ngono ili awe mke wangu wa maisha mimi miaka yangu kati ya 46 na 50. Karibu sana.
1 Reactions
53 Replies
7K Views
Nitakuwa na vacation tarehe 19/02/2017 wiki 1 au 2 nahitaji mdada atakayenipa kampani twende wote Nairobi kwa kipindi hicho, nina umri wa miaka 39, 95kgs niko Arusha. Pm kama interested.
2 Reactions
27 Replies
2K Views
Hellow guys..natafuta rafik wa kike umri 22-26. Awe mkirsto wa roman catholic au hata lutheran. Pia awe na elimu kuanzia ya chuo, iwe diploma or degree ts ok, ambaye tayr anafanya kazi, vizur zaid...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Good day wakuu, Nimetokea kujenga urafiki wa karibu na msichana mmoja hivi, ni mzuri tu na nimevutiwa naye, tumekuwa kwenye contacts kama mwezi mmoja hivi. Tatizo linakuja pale ninapotaka...
4 Reactions
111 Replies
16K Views
jirani yangu mmoja yuko na mkewe wote wanafanya kazi kituo kimoja cha mafuta kama pump attender na walikutania hapo2 kazini wakawa wachumba na baadae mke na mume kama mnavyojua hizi kazi zina...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Bila shaka umewahi kushuhudia au kusikia kwamba: wanawake [wa zama hizi wakiwa wanaongoza] wanavutiwa kimapenzi na wanaume wenye uwezo [i.e wenye kazi nzuri, wenye fedha za kutosha, wenye...
20 Reactions
73 Replies
15K Views
Kuna dada mmoja alikosea namba kwenye simu yangu sasa tukajenga urafiki wa kawaida mwishowe nikamtongoza lakini aliniuliza kama nina mke au la. Kwakuwa sikutaka baadee aje agundue kama...
7 Reactions
52 Replies
4K Views
Kejea kichwa cha habari hapo juu chatajwa [emoji546] [emoji546] [emoji546] [emoji546] [emoji546] [emoji546] [emoji546] [emoji546] [emoji546] [emoji546]
2 Reactions
92 Replies
14K Views
Habari zenu wakuu, Ktk maisha yangu sikuwahi kumpenda mtu kivile ktk safari ya mahusiano, ila wakati huu imekuwa tofauti hata kuhisi kuwa huenda nimepatwa na ugonjwa wa mapenzi. 2015 nilibahatika...
0 Reactions
40 Replies
3K Views
Habari wana jamvi kuna jambo huwa nashindwa sana labda naweza pata kujua zaidi hapa kuwa kuna uhusiano gani? wakati nipo chuo nilikuwa nikiitaji mambo yetu natongoza mwana chuo mwenzangu...
0 Reactions
21 Replies
2K Views
utafiti mdogo nilioufanya umenipa majibi kwamba vijana wengi waliomaliza masomo yao na kukaa mtaani bila ya kuwa na ajira kwaajili ya kujikimu mahitaji yao, sasa wamebuni mbinu mpya! Vijana hawa...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Kwenye video huyu mtoto amepostiwa na bibi yake asubuhi ya leo amewaliza wengi sana ni mtoto wa single mother mmoja hapa mjini inaelekea hajamuona baba yake siku nyingi. Nyie akina kaka jalini...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Mimi umri wangu ni miaka 40. Nilikuwa masomoni nje ya nchi. Natafuta mke. Niliwahi kuwa na mahusiano na nina watoto wawili na ninawapenda sana. Dini yangu mkristo. Mke awe mkristo. Umri wa mke...
4 Reactions
302 Replies
27K Views
Naomba tu mnifikishie salamu zangu, huyu Dj Sinyorita jamani aaaah. Naomba niulize wale ma Dj wazoefu Hii inawezekana kumsogelea Dj na kumnong'oneza jambo wakati anaskrachiii? Maaana mmmmh
0 Reactions
4 Replies
994 Views
Habarini za wakati huu Mimi ni mtanzania kijana mwenye umri wa miaka 26 mwenye asili ya kinyamwezi. Nafanya shahada yangu ya kwanza ya Elimu kwenye moja ya chuo kikuu hapa nchini. Ninahitaji...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Nina umri wa miaka 23 sasa, sijawahi kufanya mapenzi tangu nizaliwe, na sina tatizo lolote. But, nina hisia kama kawaida na nasimamisha pia. Najua hapa Kuna watu wengi wenye ufahamu juu ya hili...
4 Reactions
116 Replies
12K Views
Thanks God it's Friday Pale wanandoa wanapokuta na tatizo hili, mwaka wa kwanza, wa pili mpaka unafika mwaka wa tatu ndoa haijajibu. Mnakwenda hospitali, vipimo vinaonyesha kuwa matatizo yako...
7 Reactions
145 Replies
14K Views
When should you settle down? Feb 13, 2017 / Hannah Fry Christine Rosch Who knew equations and graphs could guide your love life? Mathematician Hannah Fry does — and shares a few formulas for...
2 Reactions
27 Replies
3K Views
Jana nilifanikiwa kumsikiliza Nabii Frank Kilawah. Kiukweli aliongea point za maana kuhusu hii kitu. Ukifanikiwa kusikiliza full video ya hii niliyo-attach, unaweza gairi kuoa au kuolewa.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Ipo siku utakuja kukutana na mtu ambae atakufanya usahau maumivu yote ya mapenzi ambayo umepata kukumbana nayo. Ambae atakufanya uwe na furaha Ambae atakuja na kukupenda pasi na kikomo licha ya...
15 Reactions
68 Replies
5K Views
Back
Top Bottom