Swali kwa wanaume | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Swali kwa wanaume

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Ikena, Mar 23, 2009.

 1. I

  Ikena JF-Expert Member

  #1
  Mar 23, 2009
  Joined: Oct 24, 2007
  Messages: 482
  Likes Received: 247
  Trophy Points: 60
  Wanaume wenzangu, embu tujadiliane kuhusu hili swala ambalo kuna mdau aliliuliza kule kwenye blog ya kurekebisha tabia,lakini halikupewa majibu muafaka, sijui kwasababu wengi wenu ni wahanga au mnajidai hamjui.

  Swala ambalo hata mimi huenda litakuja kunipa presha baadaye ni; "Jinsi gani unaweza kuondoa stress hasa ukikumbuka MKE uliyenaye hukumtoa bikira,na kuna lijamaa lilimshughulikia mkeo na pengine hata ti*O alipewa wakati wewe unajivunga hutaki na ni dhambi.
  Mbaya zaidi unagundua huyo balazuli anali-ub*o wa kufa mtu.
   
 2. Eeka Mangi

  Eeka Mangi JF-Expert Member

  #2
  Mar 23, 2009
  Joined: Jul 27, 2008
  Messages: 3,182
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Aah na wewe bwana. Haya ndo nini. Kwani wewe ulivyompenda huyo demu ulimpendea bikra? Ni wangapi wewe umewaharibu na hukuwaoa? Au wewe hukuwahi ku***ba mpaka ulivyompata huyo demu wako? Bikra hata kwenye nage inatoka wacha ku**wa. Huo ni ushamba! Na kama ulikuta huyo demu wako kashaliwa t*go basi na wewe mkikubaliana endeleza tu maana ndo dawa ya kumzuia asiende tena kukunwa huko kwa huyo jamaa aliemwanzishia hiyo dozi. Ila mshikaji ulijuaje kuwa jamaa ana mzizi wa kufa mtu?
   
  Last edited: Mar 23, 2009
 3. Nyamayao

  Nyamayao JF-Expert Member

  #3
  Mar 23, 2009
  Joined: Jan 22, 2009
  Messages: 6,980
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0
  ulimuolea wa nini sasa kama unafikiria vicvyofikirika? na hiyo kitu ya mwenzako ulijuaje ukubwa wake, hoja nyingine tata!
   
  Last edited: Mar 23, 2009
 4. Mkaa Mweupe

  Mkaa Mweupe JF-Expert Member

  #4
  Mar 23, 2009
  Joined: Jun 29, 2007
  Messages: 654
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Hapa unamaanisha kabla ya kuoa au baada?

  Maana kama ni kabla ujamuoa ni kuwa ulikubaliana na kila hali, ila kama ni wakati mpo kwenye ndoa, mmhh, mwanawane hii itakuwa ngumu.

  Ila jambo moja nataka kukujuza, ilihali umeamua kumuoa binti, hata kama alikuwa anatoa tiG* na ameamua kujituliza kwako, na haujawahi kupata habari zake zitakazokupa stress wakati upo nae (Ndani ya Ndoa). We piga kazi jiendeleze kiuchumi na uachane na tabia za kumhisi hisi mwenzio. Hii ni njia muafaka ya kudumisha ndoa...
   
 5. Shapu

  Shapu JF-Expert Member

  #5
  Mar 23, 2009
  Joined: Jan 17, 2008
  Messages: 1,918
  Likes Received: 240
  Trophy Points: 160

  Mhh,
  Nyamayao, naona uko fast kwenye mada za namna hii. Wewe ni specialist nini?
   
 6. I

  Ikena JF-Expert Member

  #6
  Mar 23, 2009
  Joined: Oct 24, 2007
  Messages: 482
  Likes Received: 247
  Trophy Points: 60

  Hapo naongelea baada ya kumuoa.
  Kuna tetesi kuwa wanawake huwa hawamsahau aliyemtoa bikira. Sasa ikiwa ndio umemjua huyo jamaa na huenda mnakaa nae mtaa mmoja, kweli njia ya kuondoa stress ni kupiga mzigo tu?
   
 7. I

  Ikena JF-Expert Member

  #7
  Mar 23, 2009
  Joined: Oct 24, 2007
  Messages: 482
  Likes Received: 247
  Trophy Points: 60

  Hujaelewa swali.
  Mara nyingi wakati wa uhusiano (kabla ya ndoa) wapenzi wengi huwa wanaficha madhambi yao.
  Sasa baada ya ndoa ukigundua inakuaje?
  Unaweza kujua flani anamaumbile makubwa kwenye stori za vijiweni.
  Pia enzi za mwalimu tulipokuwa tukitoka machungani tulikua tukipitia mtoni kuoga,na huko mnakutana na makundi ya vijana wenzako.
  Aidha kwenye jando na unyago vijana huwa wanapelekwa kwa makundi katika vipindi au miezi flani flani hususani kipindi cha baridi.

  Mfano hata wewe pengine ulishawahi kumwambia rafiki yako wa karibu kuwa unatope/mtera. Kafanye utafiti kwenye saluni mnazoshea na huyo shoga yako kama hutakuta stori zako.
   
 8. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #8
  Mar 23, 2009
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Mh usimchunguze kuku. ndio maana mkaambiwa unapoanza relationship usitake kujua alokutangulia kala nini, vipi na aje. We yanakuhusu nini kama wataka wa kuzindua mwenyewe nenda chekechea maana hata msingi hawapo.

  Kwani wadhani sie huwa hatujiulizi alopita alikuwa akipendwa vipi au kukunjwa vipi.

  When you decide to move ou dont carry on the skeleton.
   
 9. Nyamayao

  Nyamayao JF-Expert Member

  #9
  Mar 23, 2009
  Joined: Jan 22, 2009
  Messages: 6,980
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0

  kwani wewe si ulikuwa na wa kwako wa kwanza pia? coz mmeshaoana ningekushauri ufikirie maisha yenu zaidi, kuna vitu ambavyo haviwezi kugeuzika, ni kama hicho, ilikuwa likuwa basi, huwezi change past.
   
 10. Nyamayao

  Nyamayao JF-Expert Member

  #10
  Mar 23, 2009
  Joined: Jan 22, 2009
  Messages: 6,980
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0

  hapana ndg.
   
 11. u

  uporoto01 JF-Expert Member

  #11
  Mar 23, 2009
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 4,741
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  HAHAHA! Ikena jibu swali
   
 12. Fugwe

  Fugwe JF-Expert Member

  #12
  Mar 23, 2009
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 1,680
  Likes Received: 230
  Trophy Points: 160
  Ikena,
  Ebu ukue na uwe mtu mzima. Kama unawivu baada ya kukuta mkeo bikra hana, ebu fikiria wale wanaowaoa wanawake wenye mtoto/watoto? lingine unasema kama jamaa alikuwa na nini kubwa, hilo si issue, nani kakwambia mwanamke yeyote huwa ana nani ndogo? ndio maana mnapokubaliana na mwanamke yeyote awe mdogo, mkubwa, mwembamba au mnene hakuna anayekuuliza kabla ya kuanza kufanya kwamba nipe niione maana anahakika itamuda size zote. Kuhusu kama alitoa tigo, umesdhauriwa, muulize kama bado anainterest ili uendeleze. Unashangaa jamaa kuwa na kubwa je, kuna mwenye kubwa kupita unene na urefu wa mtoto? sijui watoto wanapozaliwa wanapita wapi. Niombe radhi kwa kutumia lugha ya moja kwa moja mtanisamehe.
   
 13. Pretty

  Pretty JF-Expert Member

  #13
  Mar 24, 2009
  Joined: Mar 19, 2009
  Messages: 2,582
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 135
  Je ww Ikena ulikuwa bikira? Hilo la kwanza kufikiria, sio ujifanye kufikiria ubikira wa mwenzako na wakati ww ulishatoboa wasichana kibao. KWANI UBIKIRA UNA UMUHIMU GANI HADI UFIKIRIE?
   
 14. M

  Mutu JF-Expert Member

  #14
  Mar 24, 2009
  Joined: Mar 30, 2008
  Messages: 1,333
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Thread nyingine kweli zinapunguza stress ahaaaaaaaa kazi na dawa.Naomba ushereheshe hapo kidogo tope/mtera ndio nini unajua misamiati hii iko mingi unaweza ukaweka mingine yenye maana hii hii nikakupata vema .
   
 15. Saikosisi

  Saikosisi JF-Expert Member

  #15
  Mar 24, 2009
  Joined: May 4, 2007
  Messages: 528
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Vumilia kwani utakuwa ushauvaa mkenge; kama presha inazidi unampiga chini-
   
 16. M

  Mwanazuoni Member

  #16
  Mar 24, 2009
  Joined: Nov 12, 2008
  Messages: 69
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Uzuri na furaha ya ndoa haviwi-determined na kuwa bikira au la kwa mwanamke uliyemuoa. Ni kweli kila mmoja angependa kuoa mke wa aina hiyo....ila ni lazima pia tujue kila mwanamke naye angependa kuwa wa kwanza kulala na mume wake. Ina heshima na hadi yake kwake pia kama kwetu. kwa kulijua hilo, lazima tukubali mutual responsibility kati ya mwanaume na mwanamke juu ya ubikira huo. Sisi wanaume ndio tunawaharibu hao wake za wengine bikira zao na wa kwetu wanaharibiwa na wengine.

  Ila upande wa pili, tukumbuke wako wanawake wamefanya tendo la ndoa kabla ya ndoa sio kwa kupenda. Mazingira fulani yaliwalazimisha kuzalilishwa hata na ndugu zao wakiwa wadogo au wakubwa. Nina mifano mingi hai juu ya hili. Pia wako wanaobakwa, na hawawezi kupita barabarani kutangaza hilo lakini bado wana kiu na haja ya kuolewa na kuishi na mume. Ukianza kuwatazama wanawake kwa kuchambua bikira, hutaoa kwani hata wale usiwadhani kabisa utamkuta alishaondolewa kitambo sana. Na kama ukiamua kuoa mwanamke kwa kigezo cha bikira kumbuka hiyo ni one day excise na lazima ujiulize iwapo that is what will give value to the rest of your life in marriege. Wanaume wengi wanadhalilisha wake zao kwa sababu hawakuwakuta na bikira. Lazima tukubali hali zao kama tuliwapenda. lazima tuwasamehe na kutoyapa uzito yale waliyoyafanya kwa kukosa mwelekeo kipindi fulani cha maisha yao. lazima tuwathamini jinsi walivyo sasa na sio walivyokua jana. thamani yao ni ya leo sio ya jana. Watahukumiwa kwa walivyo sasa na sio kwa walivyokua jana. Kama sisi hatukujichafua kabla ya ndoa, isiwe sababu ya kujihesabia haki kuwa tunastahili kukutana na mke ambaye naye ni bikira kwani huo sio udhaifu bekee anaoweza kuwa nao mtu. That is not God's principle. Mungu anaweza kutupa mke aliyechafuliwa huko nyuma, ili kumwongezea thamani na ajithamini kuwa pamoja na yote bado she can be given the best. Likewise, the opposite aplies.

  Hivyo mpendwa usipoteze muda wako kufikiri yaliyomkuta mkeo kabla ya ndoa. ukiyafikiri sana hutamthamini na itakuumiza kujua kuwa kuna mtu alifaidi kuliko/kama wewe juu ya mwili wake. weka akili yako busy na mambo ya msingi yatakayowafanya muishi vema na mupendane ndani ya ndoa yenu. Uone utamu anaokupa ni the best you can get out there. See that the thing is the best of what you deserve. Ukibahatika kwenda labor mkeo akijifungua, kwa mtazamo ulionao sasa, unaweza kumdharau the rest of your life. Au unaweza kua miongoni mwa wale wanaolazimisha wake zao kujifungua (kufunguliwa) kwa visu eti ili asiharibike nyeti zake. Ujinga mtupu.


  Nawakilisha
   
  Last edited: Mar 24, 2009
 17. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #17
  Mar 24, 2009
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  ...ulipomchumbia uliulizia hilo? au ulikubali matokeo?

  ...madhali unaona dhambi, usile!

  ...achana na dhana za anatomy ya mwanaume mwenzio, zisijekukupelekea kwenye hisia za ubaradhuli!

  hata kiatu kisipokutosha unajaza makaratasi...kuwa mbunifu tu iwapo uke wa mamsapu unapwaya.
   
 18. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #18
  Mar 24, 2009
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,652
  Likes Received: 35,412
  Trophy Points: 280
  Ili kutokuwa na adha kama hizo....bi bora usioe maana utasumbuka maisha yako yote ya ndoa kama linakusumbua
   
 19. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #19
  Mar 24, 2009
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Kwa tathimi za wadau wakuu wa maswala haya ya mahusiano demu ukimtoa bikra huji muoa wewe wataoa wenzako.....unajua mwanamke anapo anaaanza kuwa katika uhusiano wa kimapenzi anakuwa hajapewa ufunuo zaidi wa kupenda na kupendwa kadri siku zinavyo enda ndivyo anavyo jifunza nini taamu na nini chungu.Ndo maana wengi wetu wanao wake tayari wamesha kuwa USED.
   
 20. B

  Baba Mkubwa JF-Expert Member

  #20
  Mar 24, 2009
  Joined: Oct 18, 2008
  Messages: 770
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Ni kweli msichana au mwanamke anaweza kutembea (kufanya mapenzi) na mwanaume ambae alishamtoa bikira hata kama huyo mwanamke ameolewa? Kama ni ukweli, je kuhusu mwanaume aliemtoa bikira mke wa mtu (kabla hajaolewa) nae anaweza kutembea na huyo mke wa mtu?
  Kama ndio, nini kifanyike?
   
Loading...