obadia1984
New Member
- Jan 23, 2017
- 3
- 1
Habari za jioni,
Mimi nimwanaume nimetokea kumpenda mama mmoja ambae ana watoto 2 mume wake nikama wameachana yaani najitahidi kumuonyesha kuwa nampenda kwa dhati nampa kila kitu anachokitaka.
Kiufupi namtimizia mahitaji yake lakini kinachonishangaza nikimwambia nampenda yeye anacheka tu, alishawai kuniambia eti kuna mda wakumuambia kama na mpenda na nikimuliza anadai watoto wanasikia na wanaweza kumwambia baba yao, mimi sioni dalili hata moja kuwa ananipenda, je niendelee kumtimizia maitaji yake ama niachane naye.
Nahitaji ushauri wenu asante sana