tang'ana
JF-Expert Member
- Apr 3, 2015
- 11,877
- 15,444
Habari za uzima wakuu?
Hivi kwa mfano binti mliyeachana nae muda mrefu akikupigia afu ktk mazungumzo yenu ukaamua kumtania kumuuliza ''vp ushaolewa? Yeye anakujibu eti toka mlivyoachana hakuna mwanaume amewahi kumtamkia kuhusiana na suala la ndoa.
Hivi hapo inakua ina maana gani au ndo fursa hiyo wakuu?