Wadada piten hapa

dedon

JF-Expert Member
Jul 6, 2015
1,507
2,063
Kuna vitu vinanisikitisha sana kutka kwa madada zetu,wapo weng wanaolalamika na kujihisi wana mikosi au hata wanalogwa kwa kukosa mume sahihi,mnachotakiwa mjue mchawi wako ni ww mwenyewe
unakuta mdada ana tabia zifuatazo
1. Anavaa vikuku - aisee naelewa wapo ambao wanavaa kama urembo na hawamaanish ile maana lkn mm nikikuona umevaa moja kwa moja nakueka kwenye lile kund la wanaogawa tgo na heshma yangu kwako inashuka hapo hapo

2.Ulevi - unakaa na msichana story zake yy ni za gambe tu dah kiukweli ss wanaume tunawazarau sana wadada walevi tunaamin tukikupangia bajeti ya 30k nikakunywesha castle lager usiku huo huo lazma nikajilie mzgo sasa imagne huyo mwanaume anakuwaziaje na story zako za gambe

3.mademu wavivu-unakuta manz umemvusha gheto hata siku tatu mfululizo yy kila saa ana demand vyakula vya kununua na jiko lipo hataki kupika kiukweli mm ntakua nakununulia hiko chakula bt kaa ukijua haupo kwenye future zangu nakutumia coz ya tamaa za mwili wangu

4.mpigaji mizinga- actually wanaume kuhudumia ni jukum letu lkn unakutana na manz anakupa majukum mpka unashangaa baba yake anafanya nn??nilishawahi kua na manz namuhudumia fresh kuna siku tukapigana chn kisa alikua anaumwa ananiomba hela ya dawa buku 4 huyu ni bint anaish kwao hv kuna mzaz gan anaeza kumnyima bint yake hela ya dawa???nikaona huyu atanisumbua sana

5Mavaz- unakuta msichana yy ni full vimini kwenye mitandao,barabaran halafu nae anataka kuolewa hahahahaha aisee dada utasubiri sana

kama kuna mdada ana any of those sifa ww usipoteze mda kwenda kanisan kuomba kwa mungu hutoolewa utaishiwa kuchezewa tu na mafisi kaz yako itakua kuchangia harusi za wenzako daily
 
Asante kwa meseji nzuri, ila hayo mawazo potofu kuhusu vikuku yatoe mkuu, kuna wanaume wanapenda wanawake zao wavae hivyo kama urembo mwingine na sio kama maana unayoichukulia wewe.
 
Asante kwa meseji nzuri, ila hayo mawazo potofu kuhusu vikuku yatoe mkuu, kuna wanaume wanapenda wanawake zao wavae hivyo kama urembo mwingine na sio kama maana unayoichukulia wewe.
Havikatazwi lakini hasa kuvaa mguu mmoja ndiposa huleta picha tofauti
Niliwai kuambiwa na mama mtu mzima aged 45-9 hivi kuwa hata yy huvaa lakn kwa mguu mmoja ni tafsiri tofauti kwa wanaume!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom