Niliyoyaona inbox za mke wangu

Niliyoyaona inbox za mke wangu

Sisi wapelelezi tuliobobea tunaomba kukuliza maswali haya madogo..

1. Unahisi kwanini aliweka lock pattern??
2. Unajua kuwa wanawake wako smart sana kumkichwa wanapocheat??
3. Kutokana na 2 hapo juu, unaweza kuamini zile msg za aliowakubalia kucheat nao amezifuta??
 
Mkuu mimi ni IT hali niliyoikuta mle napata picha fulani.
Ndio najua kuna kufuta msg pia atakua hawasiliani kwa simu hiyo bali nyingie au hata ana line ya siri au anatumia ya marafiki wenzie.

Au meeting zao ni za kushtuana tuu pale napokua sipo au huwa wamekubaliana watumie lugha gani ili kutimiza mahitajin yao(coded form)

Mkuu zipo nia nyingi sana kumpata ni ngumu maana anajua taaluma yangu so anajua njia ya kujihami.

Ila mazingira niliyoyakuta ni jibu tosha.
Hapo sawa...

Nilidhani ulikuwa na lengo la kujustify 100% kuwa mkeo ni mwaminifu.

Mi naamini mwanamke anakuwa wako ukiwa naye. Ndio maana sipotezagi kumfuatilia sana mai waifu kwakuwa najua mwanadamu hachungiki, na kifo cha presha si kizuri... nitawapa wezi wangu wigo mpana zaidi wa kumtafuna kwa uhuru.
 
Wanawake ni magenius kwenye suala la usiri,
Mbaya zaidi nafsi zao zimefichwa,huwezi ona wanachowaza.
 
Mapenzi ya cku
hizi c ya kushikiana simu.
hakika mkuu, maisha haya sio yakukagua kagua simu ya mwenza wako, hivi ukimwamini tu bila papara zakuchokonoa hautakua safe??
[HASHTAG]#unaambiwa[/HASHTAG] nyoka hana miguu bt ukimchunguza sana utaiona tu
 
Kina mama wanaocheat wapo fasta sana kufuta meseji zote hatarishi. Yaani wamebobea kiasi cha kukariri namba zoote za vidume vyao bila kusave majina. Yaani hata ikitokea meseji imekamatwa ( which is very rare...), she can simply deny na kudai hiyo ni wrong number.
 
Nashukuru mkuu, mimi nilikua si justify ila kwa wale wanapenda huu mchezo kazi kwao kama hawana pumzi kwa heri.

Pia mkuu ukiicheza vyema saikolojia ya mtu naona inasaidia sana kupata mambo kibao.
Kitu kizuri ulichojifunza ni kujua kumbe marafiki zako na ndugu zako ndio wezi wako pia.... Hii inamaana ukifa, wife atapata wa kumrithi fasta (joke).

Ila nataka kujua tu... hao uliowajua wanammendea mkeo, ulichukua hatua gani?? Kama hujachukua nikupe ushauri.
 
We hujakutana na kubwa, hata courage ya kushika keyboard leo hii usingekuwa nayo. Mpende sana mkeo kwa uamuzi wake wa kuamua kufuta mesej tata na za kishenzi.
Hahahaaaaa.... mkuu utaua mtu kwa presha
 
Uharamia niliuacha zamani maana mwisho wa siku wajikuta wewe ndio unaumia na si mwenziwako.

Nilishawahi kuhack email ya mchumba enzi hizo kwa kutumia keylogger sijui kama bado zipo hizo software. Niliyoyakuta yakikuwa mazito labda niweke bandiko mahusui la kueleza mkasa mzima.

Pia nilishafanya backup ya simu yake hapo hata kama anatumia pin au pattern au password hua haja ya kuzijua ila unatumia ti usb cable connect simu yake kwenye pc then watumia software matata za backup mzee kama file scavenger nk hizo zinarudisha hata kama ujumbe alifuta au picha vinarudi.

Nilichojionea duh sikutake endela tena, na hizi kazi.

Sababi zinachukua muda wako mwingi kumpekua pia ukishapona ukweli unaomia waweza jiumbia magonjw ya ajabu ajabu ya akili na mwili.

Kisa kimoja tu nishirikiana na ninyi;:
Paja jamaa yangu alikuwa na demu wako miaka ya zamani kidogo, basi binti alichukua kamare ya mr wake akenda nayo kwa muda wa wiki mbili hivi. Kumbe binti alikuwa na kajamaa tena walikuwa na kajipati flani so akachukua kamera ili wajifotoe za ukumbusho.
Binti alivyomaliza kuitumia kamera akafuta picha zoote na kumrudishia jamaa yangu.

Jamaa naona alihisi kitu ila hakuw na uhakika ndipo akanipatie hiyo kamera yake mzee nikaito memory card yake na kuitumia kwenye deep scan ya scavenger mapicha yoote yakarudi na video kama ndio zimepigwa upya jamaa akajionea usaliti wa demu wake.

Ndio maana sishauri mtu kufanyia mtu wako vetting mwisho huwaga mbaya sana.

Mtoa posti haimaanishi upo salama,

Na mke au mume ngumu wachunga wakiamua fanya yao watafanya tu...aidha kazini au njiani nk na usipate ushahidi wowote ktk simu au mitandao.
 
mnawasifia wanawake bure ...hata wanaume tuko vizur wanawake hata watano na hamna anaegundua kila mmoja anagaiwa upendo sawa na mwenzake.....lakin wanawake hawawezi kuwa hivo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom