Ukiyaona haya katika mahusiano yako jiongeze

Mtetezi.com

JF-Expert Member
Oct 6, 2016
3,134
3,579
DALILI MBAYA KTK MAHUSIANO!
1,Kila siku bby I'm bussy I will call you later!

2,Mara nyingi I'm so tired bby late do it another time!

3, Ukimpigia hapokei eti bby simu ilikuwa mbali na mimi!

4, Kudhoofika kila kukicha na kukosa raha bila sababu huenda ikawa wewe ni kikwazo kwake!

5, Hupenda out mara kwa mara peke yake ilimradi awe mbali na wewe!

NDG YANGU AKUFUKUZAE HAKUAMBII TOKA JIONGEZE MWENYE MACHO HAAMBIWI TIZAMA.
 
hasa iyoo namba moja kwa madem wa chuo kila siku niko busy alaf na wewe ni mwanafunzi

na mna soma chuo kimoja inabidi ujiulize huyu f08ckn anasoma nini kila siku.....alafu unaweza jiona kilaza eti hauko bussy
 
Wanawake bhana ningeweza ningewawekea mipaka kabisa coz ni pasua kichwa but nashindwa coz they are very delicious to me au nina tatizo coz I feel at heaven when doing da thing meeen!!
 
Mapenzi hayana formula,unaweza kuta hata wewe unaeshauri watu ukawa unateseka nayo yaani hizo dalili zote amekuonyesha na bado hujamuacha...mapenzi bhana tuyaacheni tu.

Kuna rafiki yetu alikuwa anapigwa akitusimulia tunamshauri ila akifika kwake anasema eti "fulani,fulani na fulani wananiambia nikuache ila mimi ninakupenda na sitoweza kukuacha" matokeo yake tukaonekana wabaya....baadaye tulipolijua hilo tuliacha kumpa ushauri na mwisho alijiongeza lakini baada ya kuwa na makovu mwili mzima
 
Hayo yanawakuta mnaopenda kugandana km gundi, sisi wa HIT AND RUN hatukutani na hvyo vimbwanga
 
Back
Top Bottom