Selwa
JF-Expert Member
- Dec 17, 2010
- 573
- 578
Unakuta mdada mzuri kaumbika, mtiifu anapendeza kila mda ila mkishazoena hajitake care yani anakuwa kila mda yuko rough tofauti na alivokuwa ulivokuwa unamtongoza. Unajitahidi kumpeleka hapa na pale mashopping nywele ila wapi.
Hivi kwanini hii inatokea?
Hivi kwanini hii inatokea?