Mwanamke wa kuwa nae kwenye mahusiano anatakiwa

daniel255

New Member
Aug 28, 2016
2
2
Mimi ni mwanaume mwenye miaka 29,natafuta msichana wa kuwa nae kwenye mahusiano na hatimae kuoana nae.awe na umri kuanzia miaka 22-26,mcha mungu,anaejiheshimu na kujithamini,mchapakazi,mwenye mawazo chanya..elimu yake kuanzia kidato cha NNE na kuendelea. Aliye tayari njoo pm but zipo njia nyingi za kupata unachohitaji naomba Ujumbe huu uheshimiwe hata hii pia ni njia sahihi.Ahsanteni
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom