umukagame
JF-Expert Member
- Apr 10, 2014
- 1,044
- 672
Heshima yenu wakuu,
Sijui nimepatwa na kitu gani toka nilipoachana na the guy, mwanaume akiniambia hili neno "nakupenda" natokea kumchukia sana hata kama ni mfanyakaz mwenzngu nakuwa na chuki nae yani naona kama kanidharau naona hanitendei haki nachukia kupendwa na mwanaume. Nahisi hii chuki inazidi kukua moyoni mwangu kama kuna aliyewahi kupitia hali kama yangu tupeane uzoefu.