Beberu-mpya
JF-Expert Member
- Feb 14, 2017
- 216
- 106
Jaji nchini Canada wakati wa kesi ya ubakaji wa binti ambae umri wake ni miaka 20, alimuuliza aliyebakwa kwa nini akufunga miguu? Hapa imekaaje vijana wenzangu@Mabeberu mnafanyaje pale hamu ndo imekufika kwa magoti na mchuchu hautaki kukupa Utamu?