Kifurukutu
JF-Expert Member
- Aug 29, 2013
- 4,628
- 6,669
Naomba ushauri
Nimekuwa nikijihusisha na kuchepuka na mdogo wa mpenzi wangu ambaye ndiye namtegemea kumuoa hapo baadae maisha ya ajira yakikaa vizuri
Sasa nimejitokeza hapa nahitaji ushauri kwani nahisi kuchanganyikiwa kabisa kwani huyu mdogo wa mpenzi wangu amenasana ujauzito na hii alinitaarifu sikuamini hadi hapo leo nilipoamua kumpeleka hospitari akapimwa na ana mimba ya miezi miwili!
Wakuu nakuombeni mnishauri kwa hali hii nakababiliana nalo vipi na uyo wife wangu wa badae hatakiwi kujua hii kitu kwani ananipenda na ninampenda sana
Nahitaji mawazo yenu