Ni kweli kwamba mwanamke ni kiumbe dhaifu?

Pyepyepye

JF-Expert Member
Jan 6, 2017
1,940
3,829
Kwa wasomaji wa maandiko matakatifu, vipo visa vya Samsoni & Delila, Adamu & Hawa na vingine vingi, ambavyo kwao mwanamke ndie anakuwa master plan.

Sasa hapo udhaifu wa mwanamke ni upi?
 
Back
Top Bottom