Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Wana jamvi.. Leo nimefikiria mengi nikaona niangalie na mawazo ya wana jamvi wengine ambaye ni ninyi.. Hivi katika safari ya ndoa, kuna swala la uchumba na mahari.. Je ni mahari huanza, alafu...
0 Reactions
17 Replies
5K Views
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari za saizi wana jf,nashukuru mungu anaendelea kunisimamia katika maisha yangu. Naombeni ushauri, nilikua na msichana niliempenda sana lakini ilifika kipindi akanicheat offcoz niliumia sana...
0 Reactions
76 Replies
7K Views
Salaam Wakuu. Zamani tukiwa wadogo, ndevu kwa wanawake zilikua nadra sana. Ni wanawake wachache sana hasa wa Kichaga (wamachame na Wakibosho),hasa wafanyabiashara ndiyo waliokuwa na ndevu mbili...
1 Reactions
90 Replies
16K Views
Salamu, Natumaini hamjambo, Nlikutana mara 1 tu na huyu bibie bila kutambua ni mke wa mtu, Baada ya kutambua hilo kuwa ni mke wa pili wa jamaa, (kwa ndoa ya kiislamu Nlikaa pembeni ingawa nlikuwa...
0 Reactions
50 Replies
6K Views
Jamani habari zenu, Nimeleta hii thread maana am heart broken na nina maumivu pia. Najua ni mkosaji ila please do not attack me,i need comfort and advice from you people. Nimekua nikitoka na...
7 Reactions
106 Replies
11K Views
Siku ya jana, wengi wa watumiaji wa mitandao ya kijamii walijitahidi kuonesha upendo kwa wazazi wao wa kike (mama). Hata wale wanaopiga picha za uchi na kuzipost kwenye mitandao niliwaona...
4 Reactions
68 Replies
9K Views
Hi wapendwa, Hebu tusaidiane nini inasababisha mtoto kuzaliwa aalfu hafanani na mama wala baba. Je hii ni kitu cha kawaida kwa mtoto wa kwanza na wa pili wote hawafanani na wazazi wao? Nini hasa...
3 Reactions
32 Replies
10K Views
Kabla hujamuamini Mwanaume kwa maneno yake matamu na ahadi nyingi kuliko Ilani ya CCM mwaka 2015 ilivyokuwa kabla ya Uchaguzi, FANYA MAMBO HAYA MAWILI: 1.Jiulize Ni Mara ya ngapi unaambiwa...
8 Reactions
60 Replies
6K Views
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 28 natafuta mke wa maisha umri sio tatizo kikubwa awe na mapenzi ya dhati dini sio shida kwani ataendelea kusali alipokuwa
1 Reactions
16 Replies
1K Views
Habari za leo, nina mahusiano wa kimapenzi na msichana mmoja hivi ila cha ajabu hua ananimiss tukiwa mbali tukikutana visa hua haviishi ilimradi tu kanibore, kufanya nae mapenzi ni mpaka awe...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Eti jamani, kwa jinsi dunia hii ilivyobarikiwa wanawake wazuri na wengine wanaendelea kuzaliwa kilasiku, wenye misambwanda ya hatari na super mtindiz (kama asemavyo mdingi le mutuz) je ni sahihi...
6 Reactions
67 Replies
11K Views
Habari wana jamvi, Kuna watu wanaamini unaweza ukamtumia mwanamke Milion 1 kushinda vita ya dunia, ikiaminika kwamba mwanamke ana mbinu za ajabu sana ktk kufanikisha jambo. Kuna vijistori...
4 Reactions
26 Replies
2K Views
Wiki mbili zilizo pita nilichepuka na mwanamke moja pande za tabata mwanmke huyu tulijuana tokea 2014 yeye akiwa moshi mimi DSM. Tulijuana kupitia mitandao ya kijamii ikawa WhatsApp kwny grp...
2 Reactions
111 Replies
8K Views
Natumai mko poa wanajukwaa hili. Najitokeza kwenu leo kwa lengo moja tu la kutafuta mschana ambaye yuko tayari tuwe wachumba na hatimaye tufikie lengo la kuanzisha na kujenga familia. Nahitaji...
0 Reactions
0 Replies
930 Views
Hii ilikuwa miaka kama minne iliyopita tangu nilipokutana na huyu Binti niliyempenda kwa moyo wote, Ilikuwa vigumu kumpata kutokana na msimamo wake. Baada ya mda kama miezi mi3 alikuja kunieleza...
1 Reactions
26 Replies
4K Views
Nimeingia wengi wanapopa- refer kama 'Mjini' mida ya saa moja unusu hivi nikitokea mkoani, kwa ufupi mi ni Mgeni mjini hapa ni mara yangu ya tatu au nne kufika japo leo sina mwenyeji kama zile...
6 Reactions
97 Replies
9K Views
Nimeingia Dar es salaam kama miezi sita sasa nikitokea mikoani ambako nilitoka baada ya kuachana na mke wangu. Kutokana na hali ya jiji watu kutoaminiana nimekuwa muoga kutongoza mademu...
0 Reactions
32 Replies
2K Views
Nashangaa na Sielewi maana wengi wetu hatutaki kuumizwa ila je Sisi hatumizi watu wengine? Au mkuki kwa nguruwe? Wengi Ambao hatutaki kuumizwa na tunalalamika tukiumizwa ila ndo mabingwa wa...
5 Reactions
42 Replies
3K Views
Back
Top Bottom