Nimemkuta wife anachart kwenye WhatsApp mwanaume mapenzi moto moto na kuitana baby honey Darling nimejaribu kumkanya lakini bado anaendelea.kutoelewana mbele za watoto, miezi mitatu watoto...
Habari yenu members,
Nimekuwa nikijiuliza sana hili swali kwanini wanaume walio wengi huwa hamtaki kuambiwa ukweli au kukataliwa pale binti anapokwambia hakutaki.
Ni kwamba mnakuwa mmejizatiti...
Dada yuko ama late 20s ama early 30s hivi. Inaelekea dada hataki masihara kwenye suala la mahusiano kwa sasa, maana anaona ishafika saa 10 jioni. Jua karibu linazama kiumri na menopause inapiga...
Kuna siku nilijifanya Mjuaji nikadukua mawasiliano ya mchepuko wangu niliyokutana nayo huko sasa ni hatari tupu, sms ya kwanza kuingia jamaa anampongeza kwa shughuli yao ya jana kuja huku whatsaap...
Habarini Wadau,
Kuna wakati natafakari mengi,mojawapo ni hili la wapi anapokwenda marehemu baada ya kufukiwa na kuachwa kaburini?
Hizi dini tulizoletewa zinasisitiza kuwa kuna Maisha ya milele...
Juzi nilikuwa na maongezi marefu na rafiki yangu mmoja. Yeye na mchumba wake walikuwa wafunge ndoa mwezi huu ila wameachana na nashangaa yeye kuniambia hakujua kama mchumba wake alikuwa...
Heheeee hallooooooo[emoji108] [emoji108] !!
Ukweli ndio huo jamani looh, unamkuta mwanamme ni bonge la handsome kwa nnje na mtoto wa kike unalegea mwenyewe bila kutarajia.
Heeeee!!! Sasa...
Na ukijaribu kunipiga tu, utajua mimi ni mwanamke wa namna gani, hutakuja kunisahau..........!
Uzoefu unaonesha kwamba baadhi ya wanaume au wanawake hutumia kile walichokiona kutoka kwa wazazi...
Serikali ya Tanzania haiheshimu ndoa wala familia kabisa!! Serikali inatunyima wanandoa ile haki...sijui ipo kikatiba...whatever ze kesi....Conjugal right kwa wanandoa imekuwa abused...
Hii ni story ya throw backs!
Kwasababu ni ndefu sana na wabongo mnapenda kulia lia nikirusha waya mrefu, basi nafupisha!
Badala ya kuanza na mwaka 2008 naruka mpaka mwaka 2014 hadi 2017
Enjoy...
Habari za wakati huu wakuu
nina swala moja linanitatiza kidogo kuna jamaa mmoja ni rafiki kikazi huwa tunashirikiana michongo flani hapa town ni baba mwenye familia anajitambua ananipenda kama...
Habari wakuu za masiku mingi
Marry ni binti mzuri hakika ni mzuri mno, ilichukua siku kadhaa kufanikiwa kuweka ukaribu nae, kaka ake marry ni rafiki angu ila siyo saana ni urafiki wa salaam na...
Habari za usiku huu wakuu,
Niende moja kwa moja kwa kile nilitaka kusema kuhusu maisha ya u single lady,
kikubwa ninachogundua nakuwa na utulivu mkubwa wa kufanya kazi tena kwa ufanisi na...
Natumai siku inaenda vizuri kwa kila mmoja wetu,
Nilikua napitia video moja ya huyu kaka anaitwa Nick Vujicic (Ningependa kila mmoja amtafute google au youtube). Yaani nikifika kwenye point ya...
Habari za weekend wapendwa,
Huyu ni rafiki yangu rafiki rafiki, lakini yeye ni wa jinsia ya pili. Tunafanya vitu vingi pamoja, mwezi wa kumi na mbili aliniambia mama yake anakuja, kwakua sasa...
Ni rafiki yangu wa kama miaka mitano, tumezoeana sana tangu tuko chuo. Tumekuwa marafiki kwa kipindi kirefu huku tukiwa na mahusiano yetu ya kimapenzi na watu wengine. Katika kipindi chote hiki...
Habari zenu wanaJF,
Natumaini ninyi ni wazima wa afya,
Ndugu yenu nimepatwa na shida kidogo kwa sababu sjui cha kuamua juu ya huyu mwanamke. Niliachana naye ni miezi 3 imepita walakini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.