Paprika
JF-Expert Member
- Feb 25, 2017
- 5,951
- 9,876
Natumai siku inaenda vizuri kwa kila mmoja wetu,
Nilikua napitia video moja ya huyu kaka anaitwa Nick Vujicic (Ningependa kila mmoja amtafute google au youtube). Yaani nikifika kwenye point ya kukata tama, maisha ya huyu kaka yananiinua moyo sana.
Amezaliwa bila mikono wala miguu lakini kajikubali na hajaruhusu hali yake imrudishe nyuma. Anafanya vitu ambavyo hata wengi wetu wenye viungo vyote vya mwili tunashindwa fanya.
Ata siku moja tusiruhusu madhaifu yetu yaturudishe nyuma kwenye mahusiano, familia, taaluma ata kwenye elimu na kwenye jamii. Mungu hakukosea kutuumba hivi na kamwe tusijitafutie kasoro. Badilisha unavyojiona mwenyewe na utafanikiwa sana, siri ni kujiamini, kua jasiri na usikate tamaa na zaidi mtangulize Mungu katika maisha yako.