Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Nimejikuta nikiziangalia mara kadhaa kwa bahati mbaya kinachoniuzi zaidi na kufanya nizichukie ni 1. Nyingi zake wanawake huliwa tigo. Ata wakianza vizuri lazima wamalizie na tigo. Sijui hili...
0 Reactions
37 Replies
10K Views
Nimefanya utafiti (sina data kwa sasa) mama na dada zetu wanaongoza kwa kuumiza watu hasa kimahusiano kuliko wanaume. Wanaume wameendelea kuumia bila kupiga kelele kinyume na wanawake wao...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Lile mask analolivaa sudi brown ukimvua kiutani utani au kikweli kweli unafungwa?
0 Reactions
51 Replies
18K Views
JIKUBALI Kama unaamini kuwa matatizo umeumbiwa wewe kama mwanadamu, basi kwa yote yaliyokupata ya kuumiza moyo wako. Jifunze kuukubali ukweli, jikubali mwenyewe kuwa unaweza pamoja na...
2 Reactions
2 Replies
2K Views
Unakuta mbaba mnene,,kitambi hichoo yaan mnene jamanii halaf anatongoza vibinti vidogo, we baba unavipeleka wapi hivyo vibinti,,,mfano hata mimi sipendi wababa /wakaka wanene ,,mtu tumbo...
18 Reactions
332 Replies
37K Views
Kuna msichana mmoja nilimtongoza na kunikubalia akawa mpenzi wangu ila ikaja kutokea siku akaniambia kwamba hanipendi alikuwa aki ni enjoy tu, mwanaume nilikaza lakini wapi msichana kata kata na...
0 Reactions
123 Replies
9K Views
Naungana mkono serikali kupinga ndoa za utotoni. Kuna binti wa miaka 16 ametaka kuolewa Tanga, sasa najiuliza hapa anaweza kutimiza majukumu yake ndan ya ndoa kama mke? Hapa nimejibiwa siwez...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
wakuu habari za muda huu.. ni miaka takribani minne tokea niumizwe na mapenzi,baada ya kuumizwa nilikua ni mtu ambaye siyapi thamani mapenzi maana nilikua natafuna na kusepa,kwa hii miaka minne...
0 Reactions
35 Replies
3K Views
Jamaa yangu mmoja alikuwa anafanya kazi kwenye kampuni moja ya vinywaji baridi sehemu maarufu kama empties (yaani wapakua chupa au creti ambazo zimeisha vinywaji. Kitendo hiki ni moja ya vitengo...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Habari wadau. Hili swala najua tupo wengi lakini huwa siri yetu au na watu wetu wa karibu na si kwasababu tupo wengi ndio namaanisha nipo sahihi, hapana! Nataka kuwashirikisha na kupata maoni na...
7 Reactions
153 Replies
21K Views
Love is not about how many days, months, or years you’ve been together. Love is about how much you love each other every day. " valentine died for love, Romeo also died for love, jack in titanic...
0 Reactions
19 Replies
1K Views
Habari, Wanaume wamekuwa wakitumia nafasi ya kuwachezea wanawake kwa kigezo cha kutaka kuwaoa. Na kwa vile mwanamke ukiangalia umri wa kuwa na mume wa ndoa umefika au umepita. Unajikuta...
15 Reactions
252 Replies
15K Views
Umevaa suruali imekubana na kuyachora maungo yako yote, halafu imechanwa chanwa mapajani kwa mbele, maungo yako yanaonekana na kila mtu. Unakutana na rafiki yako anakuuliza kama umeolewa nawe...
46 Reactions
335 Replies
27K Views
Habari zenu wake kwa waume humu ndani... Katika mambo ambayo huwa yananiumiza kichwa ni hili la kutafuta marafiki au wachumba kupitia mitandao. Sijajua hasa je ni kwa sababu ya uwepo wa mitandao...
0 Reactions
78 Replies
8K Views
Wewe mwanamke unayetembea na mume wa mtu ni mjinga sana, hivi wewe mwenzako katambulishwa wewe hujulikani zaidi ya guest acha ujinga unapotezewa muda ni sawa unasubiri basi la kwenda Zanzibar...
13 Reactions
190 Replies
25K Views
Habari zenu wanajamvini nimekutana na issue hii hapa kuna kijana tunafanya naye kazi ofisi moja , jana alinipa mkasa wake kwenye ndoa yake ni kuwa yeye ameoa zaidi ya miaka 11 nyuma lakini kipindi...
1 Reactions
21 Replies
3K Views
Habar ya jpili! Natumai wazima wote. Nina manzi ambaye ni mpenzi wangu wa mda mrefu tu mchepuko ila alikuwa na matatatizo ya mahusiano kabla sijampata alinisumbua sana alidai ana mchumba mim...
1 Reactions
1 Replies
798 Views
Habari zenu, Nimekuwa na mahusiano na madada wengi ila kati yao asilimia 95 ni wakina Eliza, kila nikimtongoza mwanamke nikimuuliza Tu jina utasikia naitwa Eliza na hawanikatai na Mimi Ndiyo huwa...
0 Reactions
32 Replies
5K Views
habari kuanzia sasa nimeamua nianze kufanya uchunguzi naombeni mnisaidie dada zangu hivi vitu gani unapenda awe navyo mwanaume ili uvutiwe nae nje na PESA msaada tadadhali naomba mnitajie
0 Reactions
51 Replies
3K Views
Thanks God it's Friday, Jana nilikuwa na shost tunapita madukani, shost alikutana na shost yake ambae mimi simfahamu, mdada mzuri na yeye ametoka madukani si mnafahamu Mlimani City panavyokuwa...
5 Reactions
67 Replies
6K Views
Back
Top Bottom