Ulimkosea ila hukupata Nafasi ya Kumuomba msamaha

Nyoka_mzee

JF-Expert Member
Nov 26, 2016
3,695
5,522
Hivi huwa mtu unajiskiaje pale ulipomkosea mtu,na Hukupata nafasi ya kuomba msamaha?

Au hakukupa nafasi ya kukusikiliza?
 
Inategemea na huyo ulyemkosea ni nani.kama ni hawa vicheche wa siku mbili tatu hakuna haja ya kujuta.
 
Inategemea na huyo ulyemkosea ni nani.kama ni hawa vicheche wa siku mbili tatu hakuna haja ya kujuta.
inakuweje kwa mtu ambaye ww mwenye nafsi inakusuta ulichokifanya ila hukupata nafasi ya kumuomba msamaha
 
mkuu hapo akikuzinguwa je inakuweje ww ukiwa ndo mkosaji huwa unajisihi hatia kwenye nafsi yako baada ya muda?
 
Back
Top Bottom