umukagame
JF-Expert Member
- Apr 10, 2014
- 1,044
- 672
Habari za wakati huu wakuu
nina swala moja linanitatiza kidogo kuna jamaa mmoja ni rafiki kikazi huwa tunashirikiana michongo flani hapa town ni baba mwenye familia anajitambua ananipenda kama rafiki yake na ni mtu wa kuipenda familia yake sana
Sasa kuna kamchongo kakupata pesa kanifanyia (watoto wa mjini tunasema dili la pesa) hatimaye mchongo umekubali sasa natamani nifanye kitu au nimpe kijizawadi cha kumshukuru
Kwa mtu kama huyu naweza kumpa kizawadi gani au kufanya nini ajue nimeaprisiet sapoti yake au asante tu inatosha.
Nb. ni mtu na pesa zake hana shida
Msaada pls
Kama huna ushaur siyo lazma ucoment