Wakuu nimepata mpenzi mpya ila anapenda sana kutumiwa dedications za nyimbo.
Mi natamani kumtumia maana ndo kitu anachokipenda.
Sasa nauliza wazoefu ni nyimbo gani nimtumie maana mimi hii...
Dah wasichana ukikaa chini ukaanza kuwatafakari utacheka sana. Unakuta mko chuo dada ana dream za mwanaume awe bright darasan, six park mda huo anataman wenye vitambi akiamn ndo wenye pesa
Kuna...
Habari za jioni wapendwa...!!
Naomba nianze moja kwa moja na mada yangu.
Hivi umeshawahi kuishi na jirani ambae anaruhusu watoto wake waingize wanaume ndani?
Wajukuu waingize wanawake zao ndani...
Juzi tu nilikuwa kwa rafiki yangu mmoja amenizidi umri anachezea miaka 35 hivi anaishi kwao mpaka leo. Sasa kitu cha ajabu nilichokikuta pale,jamaa alikuwa anashida na meza akaniambia anahitaji...
Salamu ndugu zangu wana jamvi.
Nianze kwa kusema Ee Mungu niepushe na pepo la General Galadudu
Niende moja kwa moja kwenye maada, ni hivi.
Kwa muda mrefu nimekua nikitafuta mtu tunayeendana kwa...
Kama unataka kuchepuka na mke wa mtu na una mashaka kuwa anaweza kuwa na tego la Wewe kukufanya unase, muulize kwanza kama ktk maisha yake na mume wake aliwahi wakati wowote ule kukiingiza kisu...
Huyu Msichana Nampenda Sana Naye Ananipenda pia Nimempima Bila Yeye Kujua kwamba ameathirika baada ya vipimo 2 tofauti kipimo cha kwanza ilionyesha -(negative)... Cha Pili +(positive) Na Mimi...
1.Mlipewa nguvu nyingi
2.Hamuugui magonjwa ya ajabu ajabu kama u.t.i ama kuchekacheka ama cervix&breast cancer
3.Hambebi ujauzito mlijaliwa kutengeneza tu huo ujauzito
4.Mnaheshimika popote...
Habari JF.
Miimi ni kijana miaka 25, jinsia ya kiume ni mwaka wa tatu sasa tangu nianze mahusiano na huyu binti kwa mara ya kwanza kumtongoza aliniambia ameathirika na HIV, mimi nikalazimisha...
You have certainly heard about it - the G-spot, also called the Gräfenberg spot, that is characterized as an erogenous area of the woman's sexual anatomy that, when stimulated can lead to...
Ukwel wanaume tunapo tongoza tusidanganywe na shape la mwanamke Leo nimefakamia mrembo mmoja hapa katika jiji letu ambaye kwa hali ya kawaida anavutia sana kwajinsi Mungu alivyo mjalia ila kufika...
Angalia hata picha wanazopiga wanawake utaona jinsi wanavyojibinua ili wanaonekane wana makalio makubwa.
Hata wakati wa kutembea pia wengine hutembea tofauti ili kuhakikisha kuwa makalio yake...
Hey wanaJF habaz zen,natumai mko poa
Mimi ni mwanaume mwenye umri wa miaka 21 na sjui ni bahati mbaya au nzuri ila iltokea mimi kujuana na mtoto wa mamkubwa wangu lakini upande wa mama. Yeye...
Habari wana JF
Moja kati ya vitu vinavyo athiri mafanikio ya mtu ni mahusiano ya kimapenzi aliyonayo,ndo mana tunashauriwa kabla hujachagua chunguza kwanza.
Inavosemekana kuna mtu flani ukiwa...
Salam enyi watanzania wenzangu.
Nilikuwa naota usingizi, Mungu akanituma niwaeleze haya mambo mazuri kwa ajili ya kudumisha mahusiano yetu, hasa mke na mume au wachumba nk.
Kwanza kabisa...
Na umri wa miaka 25, historia yangu ya mahusiano in short nilipenda kweli kuwa katika mahusiano ya kudumu but kitu kimoja nilikuwa nikishatembea na mwanamke sijisikii tena kuendelea nae ila...
Naitwa Thom natafuta mchumba baadae mke nipo serious umri miaka 26 ninayemhitaji awe na 22-24 mm nimeajiriwa serikalini itapendeza akiwa ameajiriwa pia hata sekita binafsi dini mkristo nina mtoto...
Wajuvi wa mambo habari zenu
Nimegundua hili jambo miezi kadhaa iliyopita nikawa ninahakikisha nikiwa tu na hasira iwe mtu amenizingua, au hasira ya jambo lolote au stress zozote nikikwa nazo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.