Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 75,227
- 157,425
Serikali ya Tanzania haiheshimu ndoa wala familia kabisa!! Serikali inatunyima wanandoa ile haki...sijui ipo kikatiba...whatever ze kesi....Conjugal right kwa wanandoa imekuwa abused sana......watu wa Mungu wameishilia kwenye adultery....na ndoa zinaparanganyika, familia zinatawanyika..
.kanisa linayumba...na taifa linawehuka maana msingi mkuu ambao ni familia umevurugwa...zimekuwa distant family...sijui pen pal family??!!!!
Sasa basi.....tunaomba serikali ijirekebishe kwenye hili maana siku hizi watoto wa ndani na nje ya ndoa hawana utafauti sana....wanaonana na wazazi wote mara moja au mbili kwa mwaka tena kwa wiki zikizidi mbili tu...so child Right nazo zimetenguliwa!!!
Shemeji yenu yuko Tandahimba mie huku Masaini...sasa lile agizo la Mheshimiwa la kufyatua kwa wingi linatekelezekaje sasa?
[HASHTAG]#NdoaNaIheshimiwenawatuWote[/HASHTAG]