Dada aangua kilio kwenye ghetto baada ya mshikaji kumwambia alikuwa anataka kupima oil tu

Sexless

JF-Expert Member
Mar 11, 2017
23,675
55,878
Dada yuko ama late 20s ama early 30s hivi. Inaelekea dada hataki masihara kwenye suala la mahusiano kwa sasa, maana anaona ishafika saa 10 jioni. Jua karibu linazama kiumri na menopause inapiga hodi.

Pamoja na dada kuchukua tahadhari ya kutotaka kumegwa hovyo, lkn alikutana na mjanja aliye muingiza mjini. Mkaka aliji-position vizuri, akamnasa mdada kiulaini sana huku akimpa ahadi za uhakika wa kumuoa.

Dada aliposikia ahadi hiyo inayo mnyima usingizi akaingia kwenye mikono ya njemba kwa miguu 2. Njemba ikaonyesha utulivu wa akili mpk dada akaamua kumpa hubby to be kitumbua ili apoze njaa. Basi kama ilivyo kawaida mlamba asali halambi mara moja. Dada alimegwa mara kibao mpk njemba ikazijua kona zote za kisima.

Ikafika siku njemba akawa amemchoka mdada wa watu, akaanza kutopokea SIM, akawa hajibu sms na vituko vingine vingi. Siku ya 1, ya 2, ilipofika ya 3 dada akajikoki mpk kwa njemba, akihofia kuwa pengine njemba ana tatizo.

Akamkuta akiwa salama salmini. Dada akauliza kulikoni? Akajibiwa "nilitaka kupima oil tu, it is over now". Dada akapaniki, akalia lkn wapi bwana. Njemba ikakomaa.

Wambea tukajazana. Kama ilivyo desturi huku uswazi huwa hatupitwi. Tulipomdadisi njemba faragha kidogo njemba ikasema ina mchumba inayempenda kwa dhati.

Tahadhari akina dada, sometimes huwa mnajaribiwa tu msitoe vya uvunguni.
 
011bebdd105678bc99218af7ddabba10.jpg
 
Kuvaa shela ndiyo kunawatoa ufahamu dada zetu ndiyo maana wanamegwa kiulaini
Yaani mpk huruma kwa huyo dada. Anaonekana mstaarabu ila ndiyo aliangukia mikononi mwa chui. Maana mtaani jamaa anajulikana ni kiwembe.
 
Halafu hii gia ya kuowa nishawamega wadada kama 50 duh! nawaonea huruma lakini. Wengine niliwagegeda bila ya ahadi yoyote dadeki kuwa tozi ndani ya jiji.


Ndukiiiii
 
Back
Top Bottom