Kwanini wanaume wazuri wengi wenu mna mipele na makovu kwenye makalio yenu?

richaabra

JF-Expert Member
Jul 12, 2016
1,454
3,469
Heheeee hallooooooo !!

Ukweli ndio huo jamani looh, unamkuta mwanamme ni bonge la handsome kwa nnje na mtoto wa kike unalegea mwenyewe bila kutarajia.

Heeeee!!! Sasa kimbembe kinakuja siku ya mechi sasa heheeeeeee!!!!. Utakuta wanapenda wewe uvue kila kitu alafu yeye anabaki na vesti huku boxer ikibaki nusu nusu.

Kwa nini tusivue wote ngoma iwe draw kila mtu aone mwenzake alivyojaaliwa?
heheeeee halooooooo!!!.

Kumbe kuja kuchunguza unamkuta mtoto wa kiume huko kwenye makalio/mgongoni/kifuani ana makovu na mipele utasema alishakoswakoswa na gobolee au mishale ama haogi. ?

Mda nwingine unaweza ukahisi kashawahi kuwa kibaka au jambazii maana sio kwa mikovu ile. Ila kwa nnje utamuona bonge la Handsome kumbe ni kidudu mtu

Heheeeeeeeee Haloooooo
 
Gari hujaza mafuta kwenye sheli Yoyote,

Ipe roho kitu inapenda,

na kesho Tafuta mchumba hapa hapa JF!
 
Mwanaume ni mpambanaji makovu kawaida ila wapo baadhi lain lain endelea kupambana utawapata
 
Back
Top Bottom