What do intelligent guys look for in a girl?

Hapo hakuna formula kamili. Unaweza kumpenda mwanamke kwa kuwa ni mwembamba, mnene, sauti yake, hana wazazi, anaishi kwa shida, ana mali, ni mpole, ni matajiri, ana elimu, ni maskini au ana kipaji fulani, ni msafi, ni mchapakazi, ana nidhamu na mengineyo. Kwa ufupi mwanaume humpenda mwanamke kwa kuangalia kitu kimoja tu na siyo vingi mfano nampenda kwa kuwa ni mwembamba basi mengine hayanihusu, nampenda kwasababu ana mwanya mengine sielewi. Unayemuona mzuri muoe. Angalizo, kile kikufanyacho umuoe ni vema kikawa cha kudumu mfano tabia nzuri na si unene maana akikonda utamwacha.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom