christnetwork
Member
- Sep 1, 2015
- 39
- 66
Habari yenu members,
Nimekuwa nikijiuliza sana hili swali kwanini wanaume walio wengi huwa hamtaki kuambiwa ukweli au kukataliwa pale binti anapokwambia hakutaki.
Ni kwamba mnakuwa mmejizatiti kuwa hawezi kuambiwa no au la mwingine atakwambia hebu jifikirie kidogo, mpaka kukupa jipu anakuwa tiari kasha jifikiria. Ukilazimisha mwisho wa siku ndo mnaanza sema wanawake hawafai unasahau kuwa ulilazimisha penzi.
Acha na ile slogan mliyozoea sema eti msichana akisema no means yes
UTAUMIA.
A REAL MAN LOVE WITH HEART NOT BY DESIRE, MAKE A WOMAN TO FALL FOR YOU WITHOUT USING FORCE.