umukagame
JF-Expert Member
- Apr 10, 2014
- 1,044
- 672
Habari za usiku huu wakuu,
Niende moja kwa moja kwa kile nilitaka kusema kuhusu maisha ya u single lady,
kikubwa ninachogundua nakuwa na utulivu mkubwa wa kufanya kazi tena kwa ufanisi na mafanikio makubwa.
Pili naweza kaa hata 3 hrs bila kushika simu tofauti na zamani nikikaa dk 10 mbali na simu unakuta missed call 10 na lawama juu.
Pili napanga mambo yangu ninavyotaka mwenyewe sigombwi.
Kama na wewe ni single lady embu ongezea na mengine unayopitia.