Wapendwa salamu,
Hivi unarekebishaje mahusiano pale unapogundua mwenzi wako ameku'changanya'. Yani umemkuta na mtu read handled alafu anakiri na kuomba msamaha, nini cha kufanya usamehe na...
Asilimia kubwa ya wanawake ni watu wa kwenda kwa waganga na hasa kwa ajili ya mapenzi. Eidha kapata bwana ana hela ila mbahili.
Au anajamaa anampenda ila jamaa haeleweki. Kwanini hamjiamini mambo...
habari wadau..
naomba nitoe siri yangu ya miaka mingi...
toka enz najitambua sijawai kuwaza kuwa mfanyakaz wa mtu hata siku moja..
toka ujanani napambana na vibiashara na vitu vinginevyo ili...
Nisipoteze muda, kwa wanawake mliopo kwenye ndoa kwanini wengi wenu huwa mnawachukia sana ndugu wa mume wanapokuja kuwatembelea? Yaani ndugu wa mume akija mnapoishi hata kama ni mgonjwa mtafanya...
Habari zenu wadau poleni na majukumu ya kujenga taifa, kama thead inavojieleza hapo juu, mm nikijana wa miaka 24 ni miezi miwili sasa nipo kwenye mahusiano na mwanamke ambae tulikutana kwenye...
Ndugu wana jf nimezifahamu baadhi ya mbinu wanazotumia wadada kupitia mitandaon kuchuna wanaume na kukomba mshiko wa maana!
1. Tangazo la natafta mme, anajipa na sifa zote pendwa na wanaume...
Habari wakuu,
Yawezekana kuunganisha simu ya mke wangu na ya kwangu ili kusikiliza mazungumzo yake yote wanayoongea ili nimdake kwa kuvunja uaminifu, na kuprove kweli anachepuka, so sad...
Habar zenu wana jamii forum hususani wale wa kitengo hiki? Kama kichwa cha habar kinavyoeleza natafuta mchumba wa kike ambaye atakuwa mke wangu. Elimu yangu ni degree moja nilihitimu mwaka 2015...
Heshima Kwenu wakuu,
Je umeshawahi kuingia 18 za mtoto wa Kitanga? Kama bado basi usitamani, Ukishaingia hauchomoki. Akili zinahama kabisa.
Shikamoni wakina Dada wa Tanga..
=======
Jamaa...
Hii tabia imejengeka kwa watoto wengi wa kike japo sio wote, ila kwenye kumi mtoe mmoja tu, ila wanawake wengi wapo hivyo. Hata mwanamke awe na pesa kiasi gani lakini bado atakuomba mwanaume, hili...
INAUMA SANA KUMPENDA MTU ASIYEKUPENDA.
Umemtumia mtu text lakini hajakujibu, meseji imepokelewa lakini hajajihangaisha kukujibu. Ukaamua kuiweka simu pembeni kuendelea na mambo mengine baadae...
Milele na Milele usimruhusu Msichana wako
amueleze Matatizo yake Mvulana Mwingine hata
kama ni kwa kisingizio cha rafiki.
Mwanzoni atampa A Shoulder to lean on,lakini
Baadae atampa A Dick to ride...
Nimekuja hapa kama dharura.
Asikuongopee mtu, hakuna kazi ngumu kama kudelete namba za simu za michepuko ya MMU Whatsapp!
Kiherehere changu cha kusomba namba za simu humu kimenitokea puani! Huku...
Hata Biblia imeandika huwezi kutumikia mabwana wawili, lazima utampenda huyu na kumchukia yule. Huwezi kuwapenda wote at the same level. Hiyo ni principle ya kibiblia lakini hata kwenye mapenzi...
Tnaambiwa wanawake wako wengi kuliko wanaume, nchi kama nigeria wamefikia hatua hadi ya kuandamana kulazimisha mahusiano.Huku kwetu pia ukitembea mitaani au makanisani kuna rundo la wanawake...
Habari wakuu,
Mimi ni kijana mwenye umri above 21, nimekuwa mara nyingi nikimtongoza msichana uwa natolewa nje mara nyingi uwa sijui sababu ila nahisi ni kutokuwa na maandalizi ya kutosha jinsi...
Wakuu,
Mimi ni kijana sijazidi umri wamiaka 25, ninampenzi ambaye nimzazi mwenzangu wa mtoto mmoja na tumedumu katika mahusiano kama miaka 4 ila yeye anaishi kwao na mimi pia nipo geto kwangu...
Ndugu zangu,
ili uweze kudumu katika uhusiano wako unatakiwa kujenga mazingira ya kumuamini sana mpenzi wako. Nasema hivyo kwa kuwa, mapenzi ni imani. Ni sawa na kuamini Mungu yupo licha ya...