mindpower
JF-Expert Member
- Oct 1, 2016
- 1,049
- 1,211
Ndugu wana jf nimezifahamu baadhi ya mbinu wanazotumia wadada kupitia mitandaon kuchuna wanaume na kukomba mshiko wa maana!
1. Tangazo la natafta mme, anajipa na sifa zote pendwa na wanaume.
Hapa anapgaje pesa? Wakishoboka wanaume serious mfano 10, anapesa ndefu kuliko mshahara wa bank teller. Kipnd anawasiliana nao akilia shda ya vocha, ya elf2, wote wakaitikia, 2000*10 sawa na 20elf,
Hivyo anauwakika kukamata 20 elf kila baada siku2,v ocha tu.
Shida ya pesa 30 elf kwa wik, wote wakaitikie, ana lak 3, kwa mwezi million 1.2, na huu ni mfano wa kima cha chini tu, kuna wadada wanamamillion ya pesa za uchumba feki.
2. Picha za mrembo ambaye sio yeye, hapa mwanaume anafunguka balaa mfukoni akijua kapata mrembo wa maisha, kumbe analiwa tu, mwenye pcha marehemu siku nyingi.
3. Kujiweka tajir, mwenye elimu na kaz ya maana! Picha za majumba na magar zinatumika kulza wanaume
Hapa wanaume wengi wanachunwa mpaka basi,
Mfano nipo Barclay's bank, network down, nina shida ya dola mia 400, please nitumie nitakurudishia. Nimepata accident please my dear lak3 nahitaji, hapo mtu kaliwa Tayar
4. Mimi mdada wa kinyarwanda, na picha fek, kapua kamechongoka, wanaume wa kitanzania udenda njenje wanapgwa pesa bila mafanikio ya mchumba.
5 mdada through email, naish UK, mshamba ninampenzi UK, tunachat kwa email, kumbe mtu yupo manzese, anapgwa pesa.
6. Through business, mdada mrembo, mwanaume anamwamini kwa urembo wake akijipa matumain kuna siku mambo atapewa (sex) anatuma pesa mzigo hatumiwi, kalizwa mtu,
7. Usafiri, nauli, mdada akiona upo dar yeye anasema yupo kigoma,
Anapgaje hapa? Baby nitumie nauli nije, lak na nusu
Kumbe na lenyewe lpo dar linajiuza buguruni kapgwa mtu
Hizi ni baadhi ya mbinu ninazozifahamu mimi.
Wanaume tuambiane mbinu zingine tunachunwaje na wa Dada
Wadada tuambieni mbinu mnazotumia kuchuna wanaume tuzijue