flulanga
JF-Expert Member
- Jul 1, 2016
- 4,860
- 6,382
Wakuu,
Mimi ni kijana sijazidi umri wamiaka 25, ninampenzi ambaye nimzazi mwenzangu wa mtoto mmoja na tumedumu katika mahusiano kama miaka 4 ila yeye anaishi kwao na mimi pia nipo geto kwangu.
Mwaka jana nilijichanganya kwa mwanafunzi wachuo kimoja cha ualimu tukawa tumeingia katika mahusiano ila mimi lengo langu lilikuwa nikuchapa nakulala mbele ila kutokana namaelezo yake akaniambia kuwa ni bikra na kweli hata kimuonekano alionekana hivyo.
Kutokana na yeye kuonesha amerizika na mimi na kuonesha anataka tufike mbali huruma ilinishika ikanibidi nimwambie ukweli mzima wamaisha yangu kabla hata hatujavuta amri yasaba ili kama atakubali basi tuendelee ama tuachane.
Nikamwambia kuwa mimi tayari nina mpenzi namtoto mmoja ila huyo mpenzi wangu siishi nae ila ninamalengo nae hapo baadae kama Mungu akipenda, alinielewa vizuri ila cha ajabu bado alionesha nia ya kuendelea kuwa na mimi na kuniahidi kuwa yupo tayari kuwa namimi hivyohivyo na hatamuheshimu mzazi mwenzangu.
Mapenzi yalianzia hapo baada ya makubaliano hayo na kweli alionesha kuniheshimu na siku ambazo nakuwa nimelala na mzazi mwenzangu nilikuwa namwambia ili asipige simu wala meseji na kweli alikuwa anatekeleza vizuri.
Siku ilifika yakunipa tunda na kweli nilimkuta mtoto bikra nikawa nimembikiri mtoto, tulikutana awamu tatu tofauti mpaka hapo njia ilipoachia kabisa. Kwa kuogopa kumuharibia masomo yake na mimi kuwa baba wamara ya pili kwa mwanamke mwingine nilikaa nae tukapanga mikakati yakuzuia mimba isiyotarajiwa ila cha ajabu akaniambia kuwa yeye hana uwezo wakushika mimba kwamujibu wavipimo vyadokta.
Na aliambiwa hivyo baada ya kuugua tumbo akawa kaenda hospitali na kufanyiwa vipimo tofauti tofauti ndio wakawa wamemwambia kuwa hawezi kushika mimba, ila endapo akihitaji kubeba mimba itamlazimu aende hospitali kubwa akafanyiwe matibabu ndio atakuwa na uwezo wa kushika mimba hayo ndio maelezo aliyonipa yeye.
Mapenzi motomoto yakaendelea kwakujua mwenzangu hana uwezo wakushika ujauzito, ila kuna siku akaniambia kwa mujibu wa mila za kwao kuwa mwanaume atayembikiri ndio lazima aolewe nae huyo alinishtua kwa sababu anajua kabisa mimi nina mtu.
Nikamwambia ila si nilikwambia kuwa mimi nina mtu akanijibu atakuwa hata nyumba ndogo ila hawezi kuniacha alafu anajua kabisa mimi ni mkristo hatunaga nyumba ndogo ila akaweka mkazo kabisa kwa hilo.
Mimi sikujali sana hizo mila zao ila nikajiongeza nikaanza kuwa namkwepa akaanza kunifata mpaka sehemu yangu ya kazi anakuja ananililia sana, nikawa nae hivyohivyo ila mapenzi yangu kwake niliyapunguza ila yeye hakujali hilo.
Sasa kiini kabisa cha tatizo nihiki, mwezi wa pili ameniletea majibu ya hosptali kuwa anamimba, nikamuuliza wewe uliniambiaje kuhusu kubeba mimba akaniambia hata yeye hajui imekuwaje, ikanibidi nimpeleke kupima tena ila majibu yakawa yaleyale.
Nilifadhaika sana nikawa nimemshauri atoe ila akagoma kabisa katakata kwa madai kuwa akikubali kuitoa hiyo mimba nitamuacha na kweli kama aliingia ndani ya kichwa changu ndicho nilichokuwa nimepanga nifanye hivyo.
Huyu mdada anaishi nashangazi yake na shangazi yake hana mtoto na wala hajaolewa, kutokana na mabadiliko ya mwili wake pamoja nakutapika shangazi yake akawa kamshtukia na alipombananisha akawa kasema ukweli kuwa nimjamzito naakawa kanitaja muhusika.
Shangazi yake akaniita nami nikaenda nikamueleza hali husika kuwa mimi sikupanga na mwenzangu aliniambia kuwa hana uwezo wakushika ujauzito mpaka afanyiwe matibabu, shangazi yake alichukia sana ila akawa hana jinsi na yeye alishangaa sana kwa maelezo niliyokuwa nimempa ya kuwa binti yake aliniambia kuwa hana uwezo wakushika mimba.
Kesho yake ikawabidi wasafiri waende kwao maana ni watu wa Bukoba mchanganyiko na watusi warwanda ili akashtakiwe kwababa na mama yake nafamilia nzima kwa ujumla.
Baba yake na binti alichukia sana naakapitisha kuwa kwa mujibu wa mila zao yule binti awezi kuishi tena kwao bali arudi na shangazi yake ili mimi niishi nae, na hapa inasubiriwa binti afanye mitihani ya kumaliza mwaka wa kwanza ili aje aishi kwangu ila mimi kwa upande wangu msimamo wangu kuwa siwezi kuishi na huyu binti kwasababu tayari nina mtu mwingine japo siishi nae na yeye nilimwambia kabla hata ajabeba ujauzito.
Wakuu mnanishaurije hapo maana aunt yake anasubiria binti akifanya mitihani amfukuze nabinti anadai atakuja kwangu, na akija kwangu itakuwaje kwa huyu mwanamke niliyenae ambaye hapa kwangu ana uhuru wa kuja mda wowote akihitaji? Na kwa wiki ni lazima aje hata mara mbili.
Wakuu ushauri wenu muhimu
Mnisamehe kwa maelezo marefu