Mwanaume wa ukweli hawezi kukubali hiki kitokee

STUNTER

JF-Expert Member
Dec 15, 2015
13,075
17,237
Milele na Milele usimruhusu Msichana wako
amueleze Matatizo yake Mvulana Mwingine hata
kama ni kwa kisingizio cha rafiki.
Mwanzoni atampa A Shoulder to lean on,lakini
Baadae atampa A Dick to ride on.
Mwanamke mwenye Stress ni vulnerable and Weak and whoever gives her shelter is likely to
cause more problems to your relationship.
Kama una matatizo na Ur Girlfriend make sure
mnayamaliza mapema mkiwa wawili kabla
hajaanza kutafuta wa kumwambia,lasivyo kuna
mtu atadandia matatizo na kuiba asali yako...Ni hayo tu
 
mhhhh, kuna nini leo mbona hujanieleza tatizo?
 
Ukweli mtupuu...ni sawaa mkigombana na demu wako rafiki akoo kama ni fisi atamlaa tuu maana utamwambia na lazima atajidai anamfariji kumbe ndo aliwaaa hivyoo yakheee..
 
Back
Top Bottom