mitale na midimu
JF-Expert Member
- Aug 26, 2015
- 10,420
- 17,722
Tnaambiwa wanawake wako wengi kuliko wanaume, nchi kama nigeria wamefikia hatua hadi ya kuandamana kulazimisha mahusiano.Huku kwetu pia ukitembea mitaani au makanisani kuna rundo la wanawake wanatafuta ndoa au pa kujishikiza ili baadae aolewe..
Lakini cha ajabu
Matangazo ya kutafuta wachumba mengi humu ni ya WANAUME japo Majina yetu huku ni anonymous ambayo yanaondoa kipengele cha aibu.
Pamoja na wanawake kuwa wengi, ikitokea wanawake wanatafuta mchumba JF, basi msururu wa vidume ni kama foreni za dsm.
Tatizo ni nini, au takwimu za kwenye mitandao ni za uongo...