Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Wakuu rafiki yangu hivi ninavyoongea ni mtu wa mawazo muda wote . Naombeni ushauri wenu kuna jamaa alimtongoza alipokataa akamwambia atamkomoa. Atafanya awezalo ili asiwe na mwanaume yoyote...
2 Reactions
36 Replies
4K Views
Nilianza kujisikia vibaya hata kabla ya kufunga ndoa. Nakumbuka miezi mitatu kabla wakati tukiwa katika maandalizi ya Bashiri kuja nyumbani kuleta mahari miguu ilianza kuuma kiasi cha kushindwa...
0 Reactions
52 Replies
7K Views
Mume au mke wa hiari ni mtu wa aina gani? Anakuwa vipi kwa vigezo gani mpaka kuwa wa hiari? Msaada tafafhali. Asante
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Wakuu habari zenu, Naandika hivi kwa uchungu! Maana nimeona yaliyomkuta dada mmoja. Dada huyo aliolewa akiwa na mtoto wa kike sasa siku zikaenda mtoto akakua akaanza kidato cha kwanza. Pia...
8 Reactions
50 Replies
5K Views
Kwanza niwasalimu wanajukwaa wote, Amani iwe kwenu kama mimi nilivyojituma kuwaleteeni habari njema wadada, Huu niukweli mtupu usiopingika wadada mmepoteza mvuto wa kimapenzi kwa wanaume licha...
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Janga kubwa duniani kwa sasa, ni janga la ndoa kupitia wanawake kutaka kuwapanda vichwani wanaume kwa mwamvuli wa haki sawa.
1 Reactions
80 Replies
6K Views
Mambo vp wanaJF, Naombeni ushauri nifanyaje kwasababu niliachana na msichana na sasahivi ameniambia ana mimba yangu na mimi nishaanzisha uhusiano na mwanamke mwingne na nampenda sana.
0 Reactions
73 Replies
5K Views
Habar ya jpili! Natumai wazima wote. Nina manzi ambaye ni mpenzi wangu wa mda mrefu tu mchepuko ila alikuwa na matatatizo ya mahusiano kabla sijampata alinisumbua sana alidai ana mchumba mim...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Wadau naomben ushaur. Mim ni kijan na nimekuw na binti ni mpnz wang kin mpaka wazaz wameshafaham yan kwet na kwao na nimewah at kumpelek hom ila haikiw uchumba official ni katik mbinu za...
2 Reactions
80 Replies
7K Views
Hlw, natumai mko wazima. Napenda kupata marafiki humu, watu ambao ni matured kifikra na mambo mengine. Umri wangu ni 31, jinsia (Me), muajiriwa&mjasiliamali. Nazungumza kiswahili&kingereza...
2 Reactions
34 Replies
3K Views
Kabla hujafungua domo lako na kuanza kumtongoza na kummwagia Sera zako na ahadi zako nyingi kama Ilani ya CCM jifunze kwanza HOW TO SATISFY HER. Kama wewe ni Lawyer huwezi kuthubutu kuapply kazi...
0 Reactions
16 Replies
1K Views
Habari zenu wana janvi.., katika dunia hii hakuna palipoandikwa ni sehem gani unaweza kupata mke au mme., bali ni sehem yeyote unaweza kupata mwenza wa maisha yako ya hapa dunian.Kuna watu...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Wana JF, Lazima uwe mvumilivu ndio utampata. Si vinginevyo
9 Reactions
92 Replies
8K Views
MWANAUME NI NANI? (sio mvulana tafadhali) Mwanaume ni sehemu ya uumbaji wa Mungu, ambae huanza majukumu katika umri mdogo kabisa. Hutoa sadaka ndoto zake kwa ajili ya kuwafurahisha wazazi wake...
4 Reactions
66 Replies
11K Views
Baada ya kukumbwa na upepo wa kutumbuliwa kibarua changu, hali yangu kiuchumi imeyumba mno kwani kwasasa mambo yangu mengi hayaendi, wale waliokuwa wananitegemea ikiwemo mama mkwe wangu siwatumii...
5 Reactions
45 Replies
5K Views
Ndugu zangu wapendwa habari, let me go straight to the point, naomba mnishauri hapa mimi ni mwanaume, nina wapenzi wawili wote niko nao kwa muda mrefu ila mmoja ambaye simpendi sana huwa...
0 Reactions
52 Replies
4K Views
Habari wana JF, Leo nimefikiria jambo moja kuhusu wanawake wengi wao wanakuwa na visababu sababu vingi na vingine hata havina mantiki pale wanapotongozwa huwa hawawezi kuweka wazi jibu la sitaki...
0 Reactions
35 Replies
5K Views
Last week nimezinguana na mchepuko wangu. Ilikuwa siku moja kabla sijasafiri kikazi mkoa mmoja unaosifika kwa baridi sana hapa nchini. Alhamisi nikaamua kwenda kwenye duka la kampuni ya mtandao...
5 Reactions
55 Replies
5K Views
Habari zenu wana wa MMU!!! Kwa heshima kubwa, naombeni msaada wa mawazo. Mimi ni mume wa mtu. Ila kabla sijaoa nilikuwa na mpenzi ambaye nilidumu nae kwa takribani miaka 4, lakini bahati haikuwa...
1 Reactions
115 Replies
6K Views
Wapo wasichana ambao hawana uwezo wa kuzaa kwa sababu tofauti tofauti. Wanaume wengi pia hupenda kuoa mwanamke anaeweza kuzaa kwasababu ya kuwa na familia yaani watoto. Kwangu imekuwa tofauti...
0 Reactions
64 Replies
6K Views
Back
Top Bottom