Nyoka_mzee
JF-Expert Member
- Nov 26, 2016
- 3,695
- 5,522
Hii tabia imejengeka kwa watoto wengi wa kike japo sio wote, ila kwenye kumi mtoe mmoja tu, ila wanawake wengi wapo hivyo. Hata mwanamke awe na pesa kiasi gani lakini bado atakuomba mwanaume, hili nimeshuhudia kwa jamaa yangu mmoja ambaye niliitwa kwenda suluhisha ugomvi.
Kisa chenyewe, mke anakipato tofauti na mume kutokana na mwanaume kutokuwa na shughuli rasmi ila ajabu sasa mke hata kama atakuwa na milioni ndani lakini atataka bado jamaa ampe.
Pesa ya mwanaume watumie wote ila yake mwanamke ni yake peke yake na huwa haieleweki hata anatumia nini?
Akiulizwa anasema ni jukumu lake mwanaume kumhudumia hivi jamani mlipokuwa mnadai haki sawa hili hamkuliona?
Mbona lakini mnatufanyia hivyo watoto wa mwanamke mwenzenu. Hamjui mnapotukomoa ni sawa na kumkomoa mwanamke mwenzenu alotuzaaa jamani?