Sitaki kurudia kosa kwa habari ya kutongoza

Pure Scientific

JF-Expert Member
Nov 19, 2015
716
643
Habari wakuu,

Mimi ni kijana mwenye umri above 21, nimekuwa mara nyingi nikimtongoza msichana uwa natolewa nje mara nyingi uwa sijui sababu ila nahisi ni kutokuwa na maandalizi ya kutosha jinsi ya kumtongoza.

Sasa kwa kipindi cha mwenzi mmoja nimetokea kumpenda msichana na nimeshajaribu jenga mazoea nae ila nimetumia mbinu ya kumjali sana na ku
saidia pale anapoonekana ana shida ila kila nikifikiria kumwambia ukweli kuhusu kumpenda uwa naogopa sana.

Naombeni ushauri wakuu
 
mwambie akakikataa hutatoboka mahali pengine.. halafu siyo pua yako useme itadondoka hapo utabaki na vishimo tu ...

tatizo hamkubaliani na mimi PESA PESA PESA PESA ndiyo kila kitu chalii .. hata me siwezi kukubalia wewe usiyekuwa na pesa hata kama nakupenda wakati wapo wenye pesa wanakimbizana na mi .
 
Hivyohivyo ndo umepatia, jiweke sehemu ya matumaini kwake pale anapokuwa ktk wakati mgumu, mfariji na hakikisha inafikia hatua hajioni amekamilika pasipo wewe, akifika hatua hiyo hapo utaweza penyeza nia yako..... Pia mpeleleze ujue mwanaume wa ustaarabu gani nawe ujiweke ktk mazingira hayo.... Pia usiwe na haraka sana ya kutaka mapenzi atakuwa na mashaka, nenda nae polepole ye mwenyewe atakuita na kukuvulia nguo!
 
nimekupata kwa ushauri
 
Subira yangu ndio iloniponza, ngoja ngoja naonekana mjinga. Mkuu angalia haka kamwimbo kasije ndio kakawa faraja yako ujue wanawake kila cku wanatongozwa so angalia ucje kuwa wamwisho wakat hapo ulipo niwakwanza
shida yangu kubwa nashindwa kuwaelewa hawa viumbe unakuta tayari anaonyesha dallli zote za kukupenda ila ukimtongoza anakutolea nje
 
mwambie akakikataa hutatoboka mahali pengine.. halafu siyo pua yako useme itadondoka hapo utabaki na vishimo tu ...

tatizo hamkubaliani na mimi PESA PESA PESA PESA ndiyo kila kitu chalii .. hata me siwezi kukubalia wewe usiyekuwa na pesa hata kama nakupenda wakati wapo wenye pesa wanakimbizana na mi .
nimekupara mkuu...
 
Hizo pesa na domo zege wap na wapi
 
Back
Top Bottom