Unarekebishaje mahusiano pale unapogundua mwenzi wako amekuchanganya?

Mj1

JF-Expert Member
Feb 21, 2017
1,026
971
Wapendwa salamu,

Hivi unarekebishaje mahusiano pale unapogundua mwenzi wako ameku'changanya'. Yani umemkuta na mtu read handled alafu anakiri na kuomba msamaha, nini cha kufanya usamehe na kusahau ili maisha yaendelee?

Niko mwisho wa kipimo cho akili yangu
 
Wapendwa salamu
Hivi unarekebishaje mahusiano pale unapogundua mwenzi wako ameku'changanya'. Yani umemkuta na mtu read handled... afu anakiri na kuomba msamaha... nini cha kufanya usamehe na kusahau ili maisha aendelee??

Niko mwiso wa kipimo cho akili yangu
Hapo hakuna mapenzi mama mti anaekupenda hata kama anachepuka anjiheshimu
 
  • Thanks
Reactions: Mj1
Mkuu

Kuna mistari inapatikana kwenye kitabu inasema "usimuache mkeo ila kwa zinaa"

Achana na marembo rembo yaliyowekwa na dini, kama una ndoa, jibu ndo hilo.

Kama ndo boifrendi/gelofrendi, hiyo ni sehemu tu ya mchezo wenyewe,
 
  • Thanks
Reactions: Mj1
Daby.... sio rahisi kama unavyohisi aisee. ni ngumu sana Mkuu wangu
Ni rahisi ukiamua kila kitu chenye kheri kinamaumivu inatakiwa ujitoe hakuna mteremko kwenye mafanikio
 
Kama bado hujaoa, pita hivi, muda utakuponya usijali. kama ni mke/mume busara itumike hasa kama mna watoto.
 
  • Thanks
Reactions: Mj1
Back
Top Bottom