Mapenzi Ya Mtoto wa Kitanga Yampagawisha, aitelekeza Familia Yake

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,658
55,485
Heshima Kwenu wakuu,

Je umeshawahi kuingia 18 za mtoto wa Kitanga? Kama bado basi usitamani, Ukishaingia hauchomoki. Akili zinahama kabisa.

Shikamoni wakina Dada wa Tanga..

=======

Jamaa amekiri kabisa kuwa inawezekana amefanyiwa kitu mbaya na msichana ambaye hakumtaja jina na kumsahau mke wake na watoto na kwenda kuhamia kwa dada huyo.

Alidai kuwa alipoanza urafiki na dada huyo miezi minane nyuma alikuwa yupo katika hali ya kawaida, lakini ipipotimia kiezi mitano ya urafiki wao alijikuta akiingia katika penzi zito na dada huyo hali ambayo ilimfanya aanze kusahau kidogokidogo familia yake bila kujitambua.

Alidai kuwa alikuwa akienda kwa dada huyo na kuchelewa kurudi nyumbani kwake, mara alijikuta akishindwa kurudi kabisa nyumbani kwake na kulala hukohuko na kumpigia mke wake simu kuwa alikuwa yuko bize kazini na kurudi kesho yake.

Alisema mbaya zaidi alijiona kama yuko tofauti na kuanza kumuona mke wake kama mtu wa kawaida na kumuona dada huyo kama ni mke wake na kuona kamda kitu cha kawaida.

Kutokana na hali hiyo ya kuzidi kusahau familia yake alidai mke wake alikwenda kuripoti kwa ndugu zake yeye na kuulizwa na kukana kuwa si kweli.

Hivyo kadri siku zilivyozidi kwenda hali ndiyo ilizidi kuongezeka ya kusahau familia yake na mke wake kuwataka baadhi ya ya shemeji zake wafike nyumbani kwake walale ili wathibitishe maneno ambayo alikuwa akiwaambia ya kuwa mume wake alikuwa harudi nyumbani.

Shemeji zake hao walithibitisha tukio hilo na kuanza kulifanyia kazi susala hilo na kumfatilia ndugu yao huyo na kugundua kuwa alikuwa akizuzuliwa na mwanamke huyo.

KWa kuwa alikuwa hajitambui ilibidi ndugu hao wamkanye na kumtaka aachane na mwanamke huyo nay eye kukiri ni kweli alikuwa na mahusiano na huyo dada na kuwambia alikuwa anatamani aondokane na hali hiyo lakini alikuwa anashindwa kujinasua kuachana na huyo dada.

“yaani rafiki yangu inawezekana nimeshalishwa limbwata na yule dada kama watu wanavyosema, yaani nimefikia hatua sirudi nyumbani kwangu hii kali? Alisema kaka huyo kwenye mazungumzo na mwandishi wa habari hii

“Na sitamani kumuacha, nimewaambia ndugu zangu mwenye kujua dawa ya kunifanya nirudi nyumbani kwangu anitafutie anipe ili nisisahau kurudi nyumbani kwangu nikienda kwa yule dada, nampenda mkewangu ila ndio hali imenikuta hii” alidai
 
Kwakwel huyu ni moja ya wanaume wapumbav. Yaan unatelekeza familia kisa papuch ya kitanga...? Seriously?

Dawa ya kujinasua hapo ni yeye mwenyewe afanye maamuzi.
Hakuna cha limbwata wa nini.. hiyo ni addiction ya sex.. imepelekea yeye kuwa mtumwa.. wa sex mpaka kukimbia familia
 
mkuu ujaonja ukiipata usingeandika hivyo baba yangu alitukimbia akaamia tanga kwa mwanamke nilishangaa alimjengea na kumnunulia gari nikasema huyu mzee mpumbavu sana ilinibidi nimfuate huko kufika mzee alikuwa siyo yeye tena sikujua alipewa nn ila nilipambana sana nilifanikiwa kumtimua yule mwanamke na mzee akarudi home mm sikuenda home nikabaki kule tanga kwecheki mali alikuwa nazo mzee kupitapita nikapata mtt wa kitanga tukawa wapenzi kwa ufundi niliyopewa duuuu sikumlaumu mzee tena kwa kukimbia home wale watu wanajua siyo mchezo
 
chezea papuchi za tanga kitu kinafukizwa na udi utamkumbuka mkeo mnuka shombo ata marashi ya buku mbili anashindwa nunua

ukweli ni kwamba ukiachana na mambo ya shirki wanawake wa tanga wanayajua mapenzi tena sana
 
mkuu ujaonja ukiipata usingeandika hivyo baba yangu alitukimbia akaamia tanga kwa mwanamke nilishangaa alimjengea na kumnunulia gari nikasema huyu mzee mpumbavu sana ilinibidi nimfuate huko kufika mzee alikuwa siyo yeye tena sikujua alipewa nn ila nilipambana sana nilifanikiwa kumtimua yule mwanamke na mzee akarudi home mm sikuenda home nikabaki kule tanga kwecheki mali alikuwa nazo mzee kupitapita nikapata mtt wa kitanga tukawa wapenzi kwa ufundi niliyopewa duuuu sikumlaumu mzee tena kwa kukimbia home wale watu wanajua siyo mchezo

Labda alikuwa anapewa mtandao pendwa ..maana nasikia ukianza kamchezo huchomoki kirahisi plus mautundu ya kitanga..ndo kabisaa unaweza mkana hadi mkeo.
 
Marhabaaaaaa
Hapo hakuna limbwata wala nn, tanga mambo ya chumbani tunayajua huyo jamaa kawekwa ndani anasuguliwa na msuo haya atamkumbuka mkewe saa ngapi?

Tena kwa taalifa yenu siku hz, hadi wanaume wakitanga wakitaka kuoa wanapelekwa kwa kungwi mwanamke akafundishwe kazi. Sio nyie mwajifanya wasomi alafu hamuwezi kuridhisha wake zenu, ukipata fundi wa kukutuliza mwasema Limbwataaaaaaa polen sna kaka zangu
 
Back
Top Bottom