Hakuna kazi ngumu kama kudelete WhatsApp mobile numbers za michepuko ya MMU!

Simplicity.

JF-Expert Member
Dec 19, 2013
2,636
1,656
Nimekuja hapa kama dharura.

Asikuongopee mtu, hakuna kazi ngumu kama kudelete namba za simu za michepuko ya MMU Whatsapp!

Kiherehere changu cha kusomba namba za simu humu kimenitokea puani! Huku nikiwa sijawahi kuwasiliana hata na mchepuko mmoja, lakini lundo la namba za watu nisiowajua karibia 500, limenigharimu!

Nikiwa na miadi ya kwenda kuonana na mchumba wangu wa kwanza, leo, ilinibidi niahirishe. Nimeamka saa tisa usiku kufuta hizi namba, ah wapi! Unaifuta kwenye phonebook, unaifuta whatsapp, unarefresh, unarudi kucheki unakuta namba na profile zipo palepale! Michepuko imeweka profile mbaya za mitego mwanzo mwisho! Mara wabinue miguu, mara matako, mara nusu uchi!

Simu yangu anajua ni aina gani, na alishanisifia halafu kaishia kuniambia nina hamu ya kuiona, si unajua haya masifa yetu ya kihaya, kujisifia hata aina za simu, mara oh, hii simu ni kama satellite, inaweza kufanya hiki, mara kile!

Ndugu zangu, sina hamu, maana nina uhakika atakagua sana hii simu, hata nijifanye sina data hatakubali.

Nimedelete Whatsapp mara kumi, kila nikiinstall upya, wananiambia "we have found backup, Restore/Skip", nachagua Skip, kucheki hivi Whatsapp namba zote zipo, wamezirudisha, michepuko ndio kwanza imesanua matako na kujiachia!

Nablock, nikpress kwenye contacts, naambiwa " Unblock".

Sikutegemea.

Ilibaki kidogo sana niikanyage hii simu, Whatsapp wana njama, acheni kabisa!
 
Hahahaha dah yaani huku ni Raha kwa kweli

Eti michepuko ndo kwanza imesanua matako na kujiachia

....on behalf of myself...and people of MMU....

~Ulikuaa huna pesa za kuspend....
~Hujiamini......
~Au hujui matumizi sahihi ya Simu na whatsap apps...

Nilisitisha missions za kuonana na MMU ladies baada ya kuwa na miadi na mmoja kutoka humu na kunitisha wakati tunakaribia kuonana, Hello, alikuwa ananinyatia kama Van damme, tangu leo moyo unasita.
 
Nimekuja hapa kama dharura.

Asikuongopee mtu, hakuna kazi ngumu kama kudelete namba za simu za michepuko ya MMU Whatsapp!

Kiherehere changu cha kusomba namba za simu humu kimenitokea puani! Huku nikiwa sijawahi kuwasiliana hata na mchepuko mmoja, lakini lundo la namba za watu nisiowajua karibia 500, limenigharimu!

Nikiwa na miadi ya kwenda kuonana na mchumba wangu wa kwanza, leo, ilinibidi niahirishe. Nimeamka saa tisa usiku kufuta hizi namba, ah wapi! Unaifuta kwenye phonebook, unaifuta whatsapp, unarefresh, unarudi kucheki unakuta namba na profile zipo palepale! Michepuko imeweka profile mbaya za mitego mwanzo mwisho! Mara wabinue miguu, mara matako, mara nusu uchi!

Simu yangu anajua ni aina gani, na alishanisifia halafu kaishia kuniambia nina hamu ya kuiona, si unajua haya masifa yetu ya kihaya, kujisifia hata aina za simu, mara oh, hii simu ni kama satellite, inaweza kufanya hiki, mara kile!

Ndugu zangu, sina hamu, maana nina uhakika atakagua sana hii simu, hata nijifanye sina data hatakubali.

Nimedelete Whatsapp mara kumi, kila nikiinstall upya, wananiambia "we have found backup, Restore/Skip", nachagua Skip, kucheki hivi Whatsapp namba zote zipo, wamezirudisha, michepuko ndio kwanza imesanua matako na kujiachia!

Nablock, nikpress kwenye contacts, naambiwa " Unblock".

Sikutegemea.

Ilibaki kidogo sana niikanyage hii simu, Whatsapp wana njama, acheni kabisa!
e1fe8f47acaeff3f7a5998c5de5d80d4.jpg
 
acha uongo wewe ,,ukiblock mtu haiwez kuwa unblocked,,,mambo ya simu tunayajua usitudanganye kwa kutunga story za uongo
 
Nenda Kwenye Email yako unayotumia Kwenye simu halafu clear data..

Ila kumbuka na namba muhimu zaweza potea siyo za michepuko tu
 
Back
Top Bottom