STUNTER
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 13,076
- 17,243
Hata Biblia imeandika huwezi kutumikia mabwana wawili, lazima utampenda huyu na kumchukia yule. Huwezi kuwapenda wote at the same level. Hiyo ni principle ya kibiblia lakini hata kwenye mapenzi, huwezi kutumikia maboifurendi wawili au wasichana wawili, lazima mmoja atakukuna kuliko mwingine utampenda zaidi. Utaipenda zaidi nonihino ya yule kwa sababu iko tofauti na ya yule utapenda masham sham ya msichana yule na utampenda zaidi kuliko yule gogo anayetulia kama anasubiri dripu ta Kwinini.
You can love two people, but you can never love 2 people at the same time na ukawapenda sawa, haiwezekani kama wewe ni sidekick wa mtu, halafu anakwambia nakupenda wewe kuliko mke wangu, jiulize kwanini alimuoa yule halafu wewe unagongwa kama kimada.
Ni hayo tu