habari wadau..
naomba nitoe siri yangu ya miaka mingi...
toka enz najitambua sijawai kuwaza kuwa mfanyakaz wa mtu hata siku moja..
toka ujanani napambana na vibiashara na vitu vinginevyo ili ndoto yangu ya kumiliki kampuni kubwa ije itimie siku moja...
katika kufanikisha ndoto hii nilitamani siku moja nikutane na mwenza mwenye ndoto kama zangu... ili kizazi chetu siku kisiteseke hata siku moja na tukiachie kitu cha kukumbukwa miaka na miaka kama familia ya toyota japan... toka babu na ma babu na walianzisha ila wajukuu na wajukuu kina akido toyota leo wanaongoza kampuni za mababu zao...
katika maisha yangu ya mahusiano nimeumiza mioyo ya wengi na kuumizwa pia.. sory sana wadada wa bank, kitaani, walimu na taaluma zote niliowahi kuwa nao kimahusiano lakini hatukufikia ndoa..
sijui nina ugonjwa gani unakuta na date na mdada nawai sana kumchoka hasa hasa akiniletea.story za kuajiriwa au nikigundua hana mawazo kama yangu....
nashukuru vigezo vyao wanavyopenda wadada nilivipata mapema sana so haikuwa ngumu kumpata mdada kwa vigezo vyao.. labda asinipende tu mwenyewe kwa feelings.. na wengi sana ni kama nawakinai unakuta navunja uhusiano kwa sababu ndogo sana..
kuna mtu aliongelea kipindi cha harusi yetu atachukua mkopo benki kwao kuhakikisha harusi inakuwa ya kukata na shoka.. kwa akili zangu nikajikuta nimemkinai tu.. mkopo kwa ajili ya 3 hours huku hana hata genge.. moyo wangu ukahisi atanichelewesha kutimiza ndoto kwa mawazo haya hana cha kunishauri.. nikajikuta upendo kwake unaisha pole pole...
yaani kuna mengi sana.. mpaka najishangaaa...
kuna mdada nilimtuma akanunue friji ya dogo chuo.. akasahau risiti na warranty nikajikuta nae nimeachana nae kuona hanifai.. nikawaza hivi akili yake haiwazi friji ikiwa mbovu tutairudisha vipi au bila document yoyote..
mara nyingine yeye mwenyewe hela zake alikosea kutuma hela nyingi tu huku tuko wote.. nikawaza huyu hata kutuma hela anakosea tena nyingi.. na wakati kuna sehemu ya kuverify jina la mtumiwa na hapo anamtumia mama yake... nikajikuta nimemdharau sana kwamba hatumii akili kwenye vitu vyake,,, atanichelewesha kutimiza ndoto na moyo kupunguza upendo
yaani sababu za kijinga sana naachana na mdada...
naombeni ushauri nina ugonjwa gani... nahisi sitaoa kwa style hii
nafikiria kuwa na option ya baby mama tu kama ruge mutahaba maana mwanamke naemtaka nahisi hayupo.
nilishirikigi tayoa business plan competition last year ma kufika top 20... kuna mdada nilikutana nae kule kwenye ushindani.. kuna kitu nilikuwa impressed nae sana kwa akili yake hata kimaongezi tu nikahisi huyu ndio mke nayemtaka... bahati mbaya ameshawaiwa na kuzalishwa juu.
kipindi nashiriki total startup business plan competition pia nilikuwa impressed sana na washiriki wenzangu na hata mshindi mercy kitomari nelwa gelato ila karibu wote ni wakubwa au wameshawaiwa...