Kwanini wanawake mnaongoza kwenda kwa waganga?

Nyoka_mzee

JF-Expert Member
Nov 26, 2016
3,695
5,522
Asilimia kubwa ya wanawake ni watu wa kwenda kwa waganga na hasa kwa ajili ya mapenzi. Eidha kapata bwana ana hela ila mbahili.

Au anajamaa anampenda ila jamaa haeleweki. Kwanini hamjiamini mambo yenu hamuendeshi bila busta? Kila kukicha kujibust nyota mpendwe na wenye hela. Ajabu tukiwatongoza tusokuwa na hela mnakataa.

Safari flani nilishuhudia dada mmoja akilalamika kuwa haulizwi njiani habari. Dah nikaona kweli hili jambo lina umuhimu ila ajabu tukiwauliza huwa hamtujibu tukiwaita hamji sasa hizo dawa mnazotuvuta za nini?

Ebu muwe na imani mtatutoa Roho watoto wa wenzenu, iyo mivuto mnayogoka ipo siku itachomoka na roho zetu.

Plzzzz tuhurumieni

Hali yenyewe sio nzuri mwenye nchi hajaribiwi.

Na yule wa Dar dah..
 
Tatzo lao ni wengi wasio na umoja kutokana na asili, hawaonyesha wazi hisia zao za kupenda,wanaume ni wachache,na walionao wanaume bado wanatamani kuwa watawala au kumiliki wanaume wengine, hushindana kwa mavazi na kujilemba wakitumaini ndiyo kupendwa,ikishindikana wanakwenda kwa waganga wakiwa na malengo mawili kupata mateka au kizazi.wanapuliza dawa mpaka wanaume wanakuwa zezeta.Wanawake mtaji wa waganga,ukiona mwanaume anakwenda ujue kunashinikizo la ibilisi na mwanamke
 
Back
Top Bottom