Na sio wote tunalala baada ya jiggy
Sio lazima inategemea na situation ilikuwaje kablaKwani ni lazima wanaume kulala baada ya sex?
A lot of energy is used during sex and mostly during bao. Hivyo tukilala msitulaumu sana...Kwani ni lazima wanaume kulala baada ya sex?
Wengine ndiyo tunaendeleza stori tukivutia muda wa kuongeza
Nilimaanisha kuna wengine hawalali!!! Yaani wao ndo hawachoki aua game inakua iko hovyooo?A lot of energy is used during sex and mostly during bao. Hivyo tukilala msitulaumu sana...
Haya bwanaWengine ndiyo tunaendeleza stori tukivutia muda wa kuongeza