Ushauri; Naweza kuunganisha simu yangu na ya mke wangu?

dimaa

JF-Expert Member
Jul 30, 2016
4,143
5,609
Habari wakuu,

Yawezekana kuunganisha simu ya mke wangu na ya kwangu ili kusikiliza mazungumzo yake yote wanayoongea ili nimdake kwa kuvunja uaminifu, na kuprove kweli anachepuka, so sad.

Karibuni sana kwa ushauri wenu.
 
Hapo kuna mambo mawili
1. ufe kwa presha
2. au maisha yako yote ukamalizie kwa bwana yule
binafsi sikushauli..
 
Haiwezekana hiyo labda kama ana smartphone kuna apps ya kudownload unaiweka kwake na kwako lakn ki kawaida hiyo impocble tena ni kosa kisheria kudukua taarifa za mwenzako hata tcra walipiga marufuku mitandao kutoa huduma ya ku daivert simu ya mwenzako
 
Habari wakuu, yawezekana kuunganisha simu ya mke wangu na yakwangu ili kusikiliza mazungumzo yake yote wanayoongea ili nimdake kwa kuvunja uaminifu, na kuprove kweli anachepuka, so sad.
Karibuni sana kwa ushauri wenu.
Ukisha mgwajima utapata faida gani?
Ulimkuta hajakatwa utepe bado pale mwanzoni mwa mahusiano yenu?
 
Back
Top Bottom