Nataka kujua kuhusu watu kutafuta wenza mitandaoni

ananijua

JF-Expert Member
Jan 24, 2017
241
97
Habari zenu wake kwa waume humu ndani...
Katika mambo ambayo huwa yananiumiza kichwa ni hili la kutafuta marafiki au wachumba kupitia mitandao.

Sijajua hasa je ni kwa sababu ya uwepo wa mitandao yenyewe au ni njia ya wahusika kuficha madudu yao...?

"AKILI MAHALA PAKE MOYONI NA SI KICHWANI"
 
Habari zenu wake kwa waume,na wasio kuwa hao humu ndani...Katika mambo ambayo huwa yananiumiza kichwa ni hili la kutafuta marafiki au wachumba kupitia mitandao.Sijajua hasa je ni kwa sababu ya uwepo wa mitandao yenyewe au ni njia ya wahusika kuficha madudu yao...?

"AKILI MAHALA PAKE MOYONI NA SI KICHWANI"

Linakuumiza Kichwa???? Kwani hili linahitaji uwe na cheti halaliii???? Kulielewa
 
Kutafuta mwenza kwenye mitandao hukurupuki tu na kudaka yoyote...


Unaangalia kwanza.. Unaanza chat na mtu kidogo kidogo mpaka mnazeana... Mkizoeana next steps follows.. Ukiingia kichwa kichwa utaona mapenzi ya kwenye mtandao hayana maana...

Ila ni jambo la kawaida sana..
 
Back
Top Bottom