Naungana mkono serikali kupinga ndoa za utotoni. Kuna binti wa miaka 16 ametaka kuolewa Tanga, sasa najiuliza hapa anaweza kutimiza majukumu yake ndan ya ndoa kama mke?
Hapa nimejibiwa siwez kupikia mkaa na nyodo kibao na binti wa miaka 23, hawa wa kizazi kipya.
Kabla ya hapo ameshakua majanga kuanzia usafi wake wa mwil, nguo, za mme, na kila kitu. Nawaza je huyo wa miaka 16 itakuaje?