dazzle3
Member
- Feb 20, 2017
- 8
- 3
Jamaa yangu mmoja alikuwa anafanya kazi kwenye kampuni moja ya vinywaji baridi sehemu maarufu kama empties (yaani wapakua chupa au creti ambazo zimeisha vinywaji. Kitendo hiki ni moja ya vitengo vyenye lugha mbaya na za kuudhi.
Jamaa yangu huyu hajawahi kusikia lugha hizo. Kuna siku alikuwa amechoka akawa haendi na kasi ya wapakuaji wengine jamaa mmoja akampa kavu moja na kumeambia " dogo kamlaumu mama yako aliyekubali kumchagua baba yako maskini akawaacha matajiri enzi za ujana wake.
Angeolewa na akina ........ au .....,... usingelikuwa hapa". Jamaa alilia sana na akaacha na kazi maana mazingira ya nyumbani kwao yalifanana na alichoambiwa.
Kwa nini na share na wewe ? Nisaidie je hali ya maisha ulionayo mama yako anahusika au ameichangia kwa kiasi gani?